Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Watanzania kiakil mtakuwa lini kama mleta mada

Wewe KUKAA hapo tabata na mtandao unapatikana kirahis bas unatutukanasisi watanzania wa LITUMBANDYOSI MBEKENYERA IGUGUNO USHIROMBO NA NDONGOSI kuwa sis n washamba kutumia DEKODA wakat hata mtandao huyo wa simu kushika n tatiZo

Mnapofanya majumuisho.ya kitaifa kuhusu maswala fulan hasa ya teknolojia Zingatie. Na jiografia ya nchi juu ya jambo Hil
Mimi nipo mwanza mjini natumia dekoda,hizo zingine ni propaganda tu
 
Kuna 70,000 na 35,000 wewe unaelekea upande upi yaan kuna package ya 70,000 unapewa kila kitu na ipo package ya 35,000 unapewa kila kitu ambacho sawa na kile kilichopo kwenye 70,000 wewe unachagua wapi?
35000 hapo wanakupa wanachokitaka wao, wewe unakazi ya kusubiri vipindi vianze na hapo kati matangazo hayakosekani.


tofauti na mtandaoni, unaangalia unachotaka wewe,hakuna mtu anayekuzuia.
 
Watanzania kiakil mtakuwa lini kama mleta mada

Wewe KUKAA hapo tabata na mtandao unapatikana kirahis bas unatutukanasisi watanzania wa LITUMBANDYOSI MBEKENYERA IGUGUNO USHIROMBO NA NDONGOSI kuwa sis n washamba kutumia DEKODA wakat hata mtandao huyo wa simu kushika n tatiZo

Mnapofanya majumuisho.ya kitaifa kuhusu maswala fulan hasa ya teknolojia Zingatie. Na jiografia ya nchi juu ya jambo Hil
Hata 3G mbona unaenjoy tu huko mtandaoni?
 
ukweli ni upi
"Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji"
 
Kijana akishapata wifi ya bure ya mtaani basi tena anaona watu wote hawana akili
Huo ndo ukweli niliosema, internet inakupa uhuru zaidi ya unavyoangalia kwenye decoder. hakuna cha matangazo, sijui nani hajaja kwenye kipindi n.k
 
Back
Top Bottom