Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

kwa kapuku kama wewe, kuna sites za Bure kabisa bila malipo yoyote, unalipia tu internet unlimited.
 
kwa kapuku kama wewe, kuna sites za Bure kabisa bila malipo yoyote, unalipia tu internet unlimited.
Ujinga mtupu YAANI nianze kuhangaika na unofficial thing unaunwa.

Huo wizi NDO unagundusha WATU hapa.

Chanel ZOTE official una subscribe mfano mzuri hiyo Netflix Mimi ni MMOJA WA subscriber unahitaji bando unalolipia na bado unatakiwa kulipia huko Sasa gharama yangu ya bando na subscription Kwa mwezi ni kubwa KULIKO ya kinfanuzi Cha startine, Azan etc wewe unaongea pumba maybe an armateur

Yaani nianze. Kuhangaika na moviebox pirated

Kodi tv addon kibao xbmc unalipia na zilizoibiwa ziko slow
 
Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Internet ya shingap kwa mwezi?
 
ukitoa hizo za azam, hizo nyinginezo huwa wapo live YouTube.

Okay, kwa hiyo faida ya kulipia king'amuzi ni kupata channel zote unazotaka... Na hizo station nyingine ni muda wote wako live YouTube au wanakuwa live kwenye baadhi ya vipindi?

Kwamba niangalie TV E au ZBC YouTube live 24/7 nikiwa na bando la internet pekee?
 
Huyo dogo kaingia MWAKA WA WA kwanza pale coet kama kajanja na hivi kapata router ya tigo yas mixx
 
Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
So wanaopenda movie na tamthilia za kiswahili utapata huko netflix? Na pia hizo nazo si za kulipia?

Kila mtu ashinde mechi zake siwezi wawekea netflix watoto wangu na huku najua parental control ni ndogo.
Watakula AZAM na DSTV tu na wakienda youtube ni youtube kid...
 
Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.

Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Wapo wengi sana. Kwanza kumbuka hii Internet haijasambaa huko mikoani kama unavyoona kwenye majiji makubwa au mijini kama Dar, mwnza, Arusha na kwingine. So hii nchi ni kubwa sana na bado watu wengi wanatumia vingamuzi na wanavipenda kweli kweli. Na biashara ya PayTV inalipa sana kwa kweli
 
Jamaa linaona limeandika point!
 
Internet ndio mpango mzima Unaangalia kila kitu unachotaka kuangalia pamoja na kufanya kazi zako kwa gharama nafuu.
 
Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Subscription ya Netflix ni sh ngapi kwa mwezi
 
mnakuwa wawili, mama watoto au majirani mnalipia internet,wewe unalipia streaming sites,simpo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…