Twende taratibu. Hulu dstv Disney Netflix n.k unalipia sh ngapi ili uangalue Kila kitu unachotaka?Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji
Kwa mfano Mpira unaangalia kupitia cannel Gani unapo unga na internet"Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji"
Majina ya sites nayaomba nitashukuru sanakwa kapuku kama wewe, kuna sites za Bure kabisa bila malipo yoyote, unalipia tu internet unlimited.
Taafifa ya hbari inapatikana wapi kwenye hiz ulizotaja?Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Dollar 3 tuSubscription ya Netflix ni sh ngapi kwa mwezi
Ambazo ni around 7000 za kitanzania?Dollar 3 tu
Naam ndio ndio kakaAmbazo ni around 7000 za kitanzania?
Sasa ni muda muafaka wa kutafuta routerNaam ndio ndio kaka
Hayo maisha ni ya vijana WA chuo, wenye familia tunatimia visimbuzimnakuwa wawili, mama watoto au majirani mnalipia internet,wewe unalipia streaming sites,simpo tu.
bado mpo zama za mijusi. dunia imebadilika.
Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
hayo ndo maisha ya watu wa nchi zilizoendelea na baadhi zinazoendelea kutoka kwenye uzamani na kuja kwenye ulimwengu mpya wa kiTeknolojia.Hayo maisha ni ya vijana WA chuo, wenye familia tunatimia visimbuzi
Premium naona ndiyo nzuri ila unalipia kuona movies peke yake ila ukilipia decoder utaona wildlife,habari,mziki, movies,katoon,nkNetflix kuna kifurushi mpaka cha elfu 20 mkuu.
mind you hapo ukiwa na unlimited internet, unakuwa na uwanda mpana kuliko kuangalia tv, maana humo pia kuna matangazo kila wakienda break mfano hizo show zenu za azamtv. ila internet huku utafanya vitu vingi zaidiPremium naona ndiyo nzuri ila unalipia kuona movies peke yake ila ukilipia decoder utaona wildlife,habari,mziki, movies,katoon,nk
ishu sio Netflix na hizo nyingine tu, pount yangu hivyo vifurushi mnavyolipa mnaweza kupata unlimited internet na kupata uwanda mpana wa kufanya mambo kwa uhuru. kuhusu habari,ITV, UTV, n.k hao wote wanakuwa live mjini YouTube. pia bila kusahau habari za kimataifa al Jazeera, cnn etcTaafifa ya hbari inapatikana wapi kwenye hiz ulizotaja?