Kabisa kaka fanya namnaSasa ni muda muafaka wa kutafuta router
Mimi silipii, nilichofanya ni kukigeuza chini juu king'amuzi kisha nikabandika selotepu kwenye kibati cha kadi ili kupunguza "detection", kisha nikatyuni upya stesheni japo zinapatikana bila namba, muhimu ni kuzipata, karibuni.Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.
Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
sio kweli.Mimi silipii, nilichofanya ni kukigeuza chini juu king'amuzi kisha nikabandika selotepu kwenye kibati cha kadi ili kupunguza "detection", kisha nikatyuni upya stesheni japo zinapatikana bila namba, muhimu ni kuzipata, karibuni.
yeah wengi HAWAJUI.Mpira unaangalia Hesgoal kwa kutumia hiyo hiyo internet
Movies huna haja ya Netflix kuna yts.mx, eztv, 1337
View attachment 3578613
View attachment 3578614
Ubunifu tu.sio kweli.
Unaachaje sasa kulipia ili uangalie mipira na familia nzima!Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.
Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Nazipataje hizo (nafanyajefanyaje)?!!! Nipo nanjilinji Huku mkuu hivyo nisamehe Bure!!Netflix, Amazon prime video hizi ni kwa ajili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
INternet is not reliableMitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.
Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Poajiunge internet. ukishafanya hivyo ushamaliza.