manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
- Thread starter
- #21
kwa hiyo yule dogo wakati kaenda kwenye redio kuhadithia hiyo stori akili zake zilikuwa sio nzuri??Hizo stori zipo miaka nenda rudi, ukweli ni kuwa Gamboshi ni kijiji cha kawaida.
Acha kusambaza stori za uongo.
na kwa nin aitaje gambosh asitaje vijiji vingine??
usibishebishe mambo ambayo hujawah kukutana nayo, la sivyo utazidi kunyonyoka hizo nywele za kichwa