Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
yaani wanaweza kukuinua kitandani wakakupeleka shamban fresh bila corona kuwapata
wachawi sio watu wazuri mkuu, corona itakupata wewe tu ukigusana na mama chanja [emoji1787][emoji1787]
Utoto raha sana nakumbuka kulikuwa kama wazee wanne hivi walikuwa wanajulikana ni wachawi
Tukimuona mmoja wao lazima tumzomee na kukimbia
Kwa Kweli imenipa confidence mpaka nakua siwaogopi kabisa wala siamini uchawi kabisa
Sent from my iPhone using Tapatalk