kwa hiyo yule dogo wakati kaenda kwenye redio kuhadithia hiyo stori akili zake zilikuwa sio nzuri??Hizo stori zipo miaka nenda rudi, ukweli ni kuwa Gamboshi ni kijiji cha kawaida.
Acha kusambaza stori za uongo.
Hapana kabisa kwakuwa wao ni invisiblesasa mshana ndugu yangu na yale majembe tukiyashika wakati wa kulima na wao wakaja kuyashika si wanaweza wakaambukizwa?
Mimi nina ndugu zangu Gamboshi.kwa hiyo yule dogo wakati kaenda kwenye redio kuhadithia hiyo stori akili zake zilikuwa sio nzuri??
na kwa nin aitaje gambosh asitaje vijiji vingine??
usibishebishe mambo ambayo hujawah kukutana nayo, la sivyo utazidi kunyonyoka hizo nywele za kichwa
unakifahamu vizuri??Mimi nina ndugu zangu Gamboshi.
Kile kijiji ninakifahamu vizuri kwa kufika na kuishi, hizo stori unazozileta hapa ni za uongo.
Acha kupotosha watu.
Uchawi upo kila sehemu, Gamboshi haijawahi kuwa na uchawi kama huo unaotaka kutuaminisha.unakifahamu vizuri??
kwa hiyo wakati anaishi babu mzaa babu yako yule aliemzaa babu yako na wew ulikuwepo??
tuambie hayo mambo ya uchawi kwa sasa hayapo ila usiseme hakijawah kuwa na historia ya mambo ya kichawi
Write your reply...sasa mganga mwenyewe ukienda kwake pale mlangoni kwake kuna sanitizer na ndoo ya maji juzi nilienda ili nipewe Pete ya forex niliona
we mwanga ni nani usiogope
Majembe sio halisi ni mikono yenyu... Nywele ni malighafi ya mambo menginekwa hiyo wakishamaliza kutulimisha yale majembe hawayarudish stoo π
na vipi kuhusu nywele wanazozichukua??
Hata kwa Virusi?Hapana kabisa kwakuwa wao ni invisible
Jr[emoji769]
Yeah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawadhuriki kwakuwa hawamgusi na mikono ya kawaida.. Wachawi mambo yetu hufanya kinyume ndio maana hata ndani ya nyuma huingilia kwenye pembe kinyume nyume halafu uchi
Jr[emoji769]
kwa nilivyomuelewa mshana ni kwamba hata kama walozi wanakuwa wanagusana na binadamu si kwa njia za kawaida, watagusana kwa njia za giza kwa hiyo anasema ni ngumu kuambukizwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwann ishindikane sasa kutokuambukizwa!
ila Mshana Jr anasema corona haiwezi kuwapata wachawi, sayansi ya wachawi ni ya juu sana corona imegonga mwamba π
yaani wanaweza kukuinua kitandani wakakupeleka shamban fresh bila corona kuwapataKkkkkk kwa hiyo hawahitaji kujifukiza
Sent from my iPhone using Tapatalk