Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

Baada ya Adam na Eva kula tundra LA MRI wa kati la mema na mabaya..hapo ndipo jehanum iliundwa rasmi na ikaanza kutumika Kaini alipomsulubu ndugu yake
 
Baada ya Adam na Eva kula tundra LA MRI wa kati la mema na mabaya..hapo ndipo jehanum iliundwa rasmi na ikaanza kutumika Kaini alipomsulubu ndugu yake
Kaka mkubwa,hapa ume assume.....kwa Nini tukio kubwa la kuundwa sehemu nyeti Kama hii halina rekodi?
 
Kifo kiliumbwa pamoja na uzima. Kiliumbwa kikiwa kimekufa. Adamu aliambiwa akifanya dhambi basi kifo kinapata uhai.

Shetani alipoasi tu hapohapo jehanamu ikawa active. Ilikuwepo lakini ikiwa Haina uhai.
 
Kifo kiliumbwa pamoja na uzima. Kiliumbwa kikiwa kimekufa. Adamu aliambiwa akifanya dhambi basi kifo kinapata uhai.

Shetani alipoasi tu hapohapo jehanamu ikawa active. Ilikuwepo lakini ikiwa Haina uhai.
Daaah umeniongezea maswali kichwani mwangu.
 
Mimi ni mkristo, katika fellowship na Yesu Kristo.
Ewaaaa we mwenzangu,,,Sasa hayo maneno uliyoandika umeyatoa wapi?kwamba Adam aliambiwa akifanya dhambi kifo kinapata uzima??
Na unasema Jehanamu ilikuwa Ila haikuwa na uhai hili nalo latokea kitabu gani?
Yaani kwa unyeti wa Jehanamu mbona hamna sehemu imeelezea iliumbwaje na kukoje kukoje?
 
Mungu alimwambia Adam kwamba siku akila tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya atakufa. Hakusema kwamba akila lile tunda la mti wa katikati basi Mungu ataumba kifo.

Ukichunguza kwa makini utajua kwamba Mungu anaposema kifo huwa anakizungumzia kile cha kiroho na baadae cha mwili. Na kufa kiroho maana yake ni kutengwa na uwepo wa Mungu.

Kwahiyo kitendo cha kula tunda kilifanya tu ku activate kifo ambacho tayari kilikuwepo kwenye tamko la Mungu hapo juu.

Biblia pia inaeleza kwamba jehanamu iliandaliwa kwa ajili ya shetani na malaika zake. Kwanini iliandaliwa? Simple, kwasababu aliasi. Alipoasi moja kwa moja aliifanya jehanamu iwe active, tayari kumpokea. Hapa nimetumia tu logic kutokana na tukio la uasi kufikia conclusion hiyo.
 
Ngoja niendelee kunywa mtori...Thanx anyway
 
Iliumbwa kabla ya mwanadamu kuumbwa.
 
Nia na madhumuni hasa Ni Nini Kama hata wakuwachoma hawakuwepo?
Muda ukifika wakuchomwa watakuwepo. Huu ndiyo utaratibu wa Mola. Ndiyo maana viwili hivyo vimueumbwa.
 
Yote hayo ili atukomoe kwa vita yake na shetani[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…