Burundi hata hamna ugumu huo mkuu tenga likizo moja mwisho wa mwaka anza kuweka akiba sasa mwisho wa mwaka uendeTutende mema duniani,wema unalipa. Kiukweli natamani sana kwenda burundi,napenda kujifunza tamaduni za kiafrika,nataka nikalijue kwa undani utamaduni wa watu wa burundi hasa waha,na wahutu. Lakini binadamu tunapanga nae Mungu ashatupangia basi tuombe uzima tufanikishe adhma yetu.
Kuogelea ktk Miami beach.Kwani bongo fantasy gani huwezi timiza mrembo
BruhMaldives, Seychelles,Rwanda, Israël,Russia, Finland.
Tunaweza ambatana ikiwa utadhamini safari.Una mwenyeji huko au utahitaji tuambatane wote kwenye safari ya Miami fantasies😋
Estuvo bien, que tengas un buen día senorok, ¿cómo estuvo tu sueño
I gatch you 😎 mate, tupange tu tarehe 😋Tunaweza ambatana ikiwa utadhamini safari.
😂😂😂😂😂
Vipi mkuuBruh
Aaah kumbe, bas sawa.I gatch you 😎 mate, tupange tu tarehe 😋
Kama kawa mkuu, adjeeVipi mkuu
Nakuongezea hapo! Usiache kwenda Latvia, Lithuania na Estonia ( Baltic Regions) kama kariba yako ni ishu za warembo! maana kule wanawake ni wengi sana kuliko wanaume.Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Unaharibu kwanza halafu mwisho unarekebisha 😀😀Makka, Luxembourg na brazil.
Itapendeza nikianzia brazil nimalizie makkah 🤣😂
Nyie mnataka kutuangamiza au¿Estuvo bien, que tengas un buen día senor
We nyau kule we ni nyaniMimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.