Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

Uliona wapi waislamu wanafungulia kelele usiku kucha kuanzia saa 5 usiku?

Halafu kwa kukusaidia adhana ni kitu cha dakika 10 tu! Hamna ishu zaidi.
Hata dk 10 nyingi mkuu, adhana dk5 hadi 7. Ila wazee wa maspika ni saa 5 usiku hadi kuchele
 
Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada?

Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
Zamani Sana kabla ya hii biashara ya sadaka za makanisani kuanza,makanisa mengi ya kilokole walikuwa wakisali kwa kuomba kwa kusali na kulia kimya kimya ndani ya makanisa yao..

Ilipoingia Zama za kanisa ni biashara,
Hapo ndipo yalipowekwa maspeaker makubwa kanisani ili kuvutia wateja.
 
 
Back
Top Bottom