Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .

Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest .

Nina asilimia mia sababu kuu ya Harmonize kumuacha Kajala ni Mkude ,ndio maana siku hizi siwaoni pamoja yeye na Mkude.

Kingine hii birthday aliyoifanya juzi Kajala kama hajafanyiwa na Mkude sijui japo wengi wanadhani Marioo ndio kasimamia show nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani unaambiwa Kajala anampenda sana Mkude kule kwa Mzee wa Chitoholi alikuwa anamchuna tu.
 
Back
Top Bottom