Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Bado siamini kama kweli huyu ni mwanajeshi wa natoHe is a CANAL, Ni Mwanajeshi Mwanasiasa
Tusubiri tutajua yote, Muda utasemaBado siamini kama kweli huyu ni mwanajeshi wa nato
mambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijoraAsubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Aisee mikwara yake. HatariAna Mikwara haswa
Hamna kitu hapo jeshi ndio uozo kabisaKuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Da mkuuu nimechekaaaa dahmambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
Dah! Mkuu umesababisha nimecheka nikiwa altareni ujue🤣🤣mambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?Kuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Inawezekana ni kaka yake angekua sio kaka yake asingekua anaropoka Kila siku hivyoHahahaaaa……sidhani kama ni active duty yule.
Halafu yule ni kaka ake na Humphrey kweli?
Ndio ujue hapo hamna jeshi Kuna makondoo yaani watu mnakubali vipi kufungiwa na mtu mmoja hii akili gani🤣🤣🤣🤣🤣Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?
Mkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.Hamna kitu hapo jeshi ndio uozo kabisa
Mkakati Gani acheni kutuandikia ujinga hapa tanzania hamna jeshi Kuna wafuga vitambi tu huu ujinga waandikie wajinga yaani mwanajeshi wa tanzania awe na huruma na wewe mwananchi hilo sahau huu ujinga kuamini jeshi la ccm ndio umefanya watu kufa wengiMkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo nikama imemwaga pilipili kwenye vidonda , kunamikakati mingine naogopa hadi kuongea ila kesho ya Tanganyika ni njema sana ,ishi humo.
😂😂😂😂😂mambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
Tuchane tu mkuu tujue,maana kiukweli wengine tumeikatia tamaa nchi yetu sanaMkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.
Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .
Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo
ishi humo.