mimi ndo RAISI WA MAISHA WA TFF
........kazi yangu ni kupiga trip
Hahahahaaaa ila mwenye experience ya kupika ni wewe...so utakuwa mpishi ikulu then baadaeee tutakupeleka kugombea ubunge Kaskazini Pemba jimbo la mkokapwanisikuwezi kwa lipi???
Usijali, utakuwa mpishi ikulu.
kongosho-waziri wa jinsia
Hahahahaaaa ila mwenye experience ya kupika ni wewe...so utakuwa mpishi ikulu then baadaeee tutakupeleka kugombea ubunge Kaskazini Pemba jimbo la mkokapwani
My prezidaaa will be The Boss, waziri mkuu Asprin, Asiye na wizara maalum Kongosho
Outsourcing JF government? Jibu langu ni hapanawote watoke nje tuna outsource uongozi
rais-nairoberry
makamu-mwembetayari
waziri mkuu-livefire
mwenyekiti wa kamati ya kutafuta viongozi toka nje ntakuwa mimi
hapo TFF panakufaa sana, ila soka likue sasa.
Kongosho unanichakachua......... Tena unataka iunipeleka TFF, ukisafiri unaishia ccm kirumba.... Hata Sikubali
Hapa mie nashindwa kuchangia, coz sioni mantik kuisemea Serikali ambayo itakua inawajibika (iko chini) ya Serikali nyingine (Mods)
mbona TZ iko chini ya mataifa yaliyoendelea?
Hahhahaaaaa raisi tumemteua Preta so utakuwa huna nguo tu???Ujue mie naongea na raisi tukiwa hatuna nguo???
Sasa kama unataka kuwekwa karantini utadhani wakoma enzi ya rumi miaka hiyo, sasa nichezee.
Mi siwafai kwenye sekta ya maumeme na magesi??
Am zea foo yuu wananchi..
Hahahahah! Kweli kabisa aisee serikali yenyewe iko chini ya mkoloni itakuwa jf?mbona TZ iko chini ya mataifa yaliyoendelea?
Hi Gee Cee!
Ntakuangalizia kama bado nafasi ipo.
Hahahahah! Kweli kabisa aisee serikali yenyewe iko chini ya mkoloni itakuwa jf?
Mie najitolea kuwa nyumba ndogo ya rais!
Nilikumiss Konnie..
Au utaniwekea chansi wizara gani? Sitaki ukatibu.. Napenda kuingia mjengoni..
So,ongea na Prezdaa mapema..