maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Wana JF,
Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu.
Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI wake? Sababu nina uhakika kila kiongozi au mfanyakazi wa umma au binafsi ana key performance indicators zinazomwonyesha kazi yake inaendaje kila baada ya muda Fulani.
Na huyo waziri msimamizi anajisikiaje jamani kubeba watu wanaoenda maofisini (au kwenye shughuli za kujenga uchumi zingine) kama manamba?
Ukweli usemwe hii kampuni ndio bye bye . Tutaonana baada ya uchaguzi 2025.
Siku njema