Kungu anataka kukimbilia kwenye ubunge.?Kwani wewe hujaskia zimepewa wawekezaji?
Kuna kitu gani Mali ya Umma Watanzania wamewahi fanya Kwa ufanisi? Hata hizo Sgr zenu ni suala la mda tuu ndio maana wanatangaza mapato ila sio matumizi.
Bosi anataka Ubunge kabla ya aibu na hasara za uendeshaji kumkumba.
😄 pole mwananguJuzi wakati napanda mwendokasi pale kimara nilipigwa kikumbo nikajipiza kwenye chuma mpaka sasa mkono Bado unauma qmmk
Dah....Asante mwanangu😄 pole mwanangu
Ova
Waje wajomba zetu.....Kila section itakuwa na mwendeshaji tofauti,vipande 2 wamepata Emirates na MOFAT ya Bongo na vingine vyote watapewa wawekezaji