maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Kwani wewe hujaskia zimepewa wawekezaji?Wana JF,
Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu.
Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI wake? Sababu nina uhakika kila kiongozi au mfanyakazi wa umma au binafsi ana key performance indicators zinazomwonyesha kazi yake inaendaje kila baada ya muda Fulani.
Na huyo waziri msimamizi anajisikiaje jamani kubeba watu wanaoenda maofisini (au kwenye shughuli za kujenga uchumi zingine) kama manamba?
Ukweli usemwe hii kampuni ndio bye bye . Tutaonana baada ya uchaguzi 2025.
Siku njema
Udaku,umbea,kukata maunoKeshapewa muarabu wa Emirates majuzi huenda ikarudishiwa uhai, tuendelee kufunga na kuomba! Waswahili hamna tunaloweza tusisahau
Kila section itakuwa na mwendeshaji tofauti,vipande 2 wamepata Emirates na MOFAT ya Bongo na vingine vyote watapewa wawekezajiSi kuna jamaa wanaitwa Emirates
Washaanza au ndy bado wako kwenye mchakato
Ova
UDART kama UDART kamwe hawawezi kubadilika! Kuna mtu mmoja hapa aliwahi kusema kwamba baada ya JPM kufariki na BRT nayo ikafa! Nikamwambia wazi kwamba hajawahi kutumia BRT au inawezekana Dar es salaam yenyewe haijui kwa sababu binafsi nina takribani 7 sijakanyaga Dar es salaam lakini mara ya mwisho kuja nilirogwa kutumia BRT kutoka K/koo hadi Mbezi ili niende Mlonganzila! Sitasahau ile siku.Karibu Africa..
Mimi utaratibu wao ulinishinda 2019, nikafikiri walibadilika
Ngoja tubaki vijijini
Nimeona last week ndo wameingia mkataba wa miaka 12, kwahiyo hawajaanza!Udaku,umbea,kukata mauno
Ndiyo tunachoweza
Ova
Mwanasiasa akikwambia mvua inanyesha hakikisha kabla ya kumuamini halikadhalika akikwambia sasa hivi ni usiku usimuamini manake unaweza ukawa umepigwa upofu.Si kuna jamaa wanaitwa Emirates
Washaanza au ndy bado wako kwenye mchakato
Ova
Unamaanisha nini unaposema Vipande Viwili?Kila section itakuwa na mwendeshaji tofauti,vipande 2 wamepata Emirates na MOFAT ya Bongo na vingine vyote watapewa wawekezaji
Yaani tulivyoshindwa kusimamia Usafiri wa Daladala tu ndo nimeamini sie viumbe ni watu wa ovyo hasa!Keshapewa muarabu wa Emirates majuzi huenda ikarudishiwa uhai, tuendelee kufunga na kuomba! Waswahili hamna tunaloweza tusisahau
Hahaha πMwanasiasa akikwambia mvua inanyesha hakikisha kabla ya kumuamini halikadhalika akikwambia sasa hivi ni usiku usimuamini manake unaweza ukawa umepigwa upofu.
Kuna phase ngapi na njia ngapi za BRT? Hapo mmja Yuko mbagala mwingine Njia ya BagamoyoUnamaanisha nini unaposema Vipande Viwili?
Watu wa Dar unawadharau sababu wanamiliki vi IST, Wewe uko mkoa gani na mnamiliki nini? Ma vi 8?? Punda???Nilikuwa nawashangaa sana watu wa Dar wengi kumiliki vi IST lakini sasa naelewa,ni bora hata kuwa na ki IST kilichochoka kuliko mateso ya mwendo kasi...
Hiki kitu ndio hivi hivi kila siku! Hatari na nusuπ
Ova