Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

Juzi wakati napanda mwendokasi pale kimara nilipigwa kikumbo nikajipiza kwenye chuma mpaka sasa mkono Bado unauma qmmk
 
Kungu anataka kukimbilia kwenye ubunge.?
Ameona kuliko stress za kila siku, ni bora ubunge miaka 5 hakuna stress za kutumbuliwa.
 
Kila section itakuwa na mwendeshaji tofauti,vipande 2 wamepata Emirates na MOFAT ya Bongo na vingine vyote watapewa wawekezaji
Waje wajomba zetu.....
Wachukue mwendokasi wengine wachukue ziwa victoria make limekaa kaa tu pale halina mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…