Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa[emoji23]
Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule
Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninawasalimu wanajukwaa!

Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?

Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Anavuta makokoro huko kibara. Anashushia na ka wimbo ka "Kitengule nalya ng'oko, amagambo nkolyo nkolyo"
 
Anajipanga 2025 Urais CCM.

1730709208553.png
 
Back
Top Bottom