pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa[emoji23]
Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule