Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

Khaaaaaa......
Kuniachia kale kachumba nikupe 35M????
Halafu nianze tena kodi??? Mimi kama nimekufuata ukanitajia hivyo naweza nianguke kwa mshtuko.
Mkuu we Acha Tu kariakoo kuna vituko 🤣 na still watu wanalipa , watu wana pesa aisee hata hvyo kuna watu wanapiga net profit ya mil 500 Safi kabisa, ngoja sie wenye mitaji ya laki moja mpaka laki Tisa huku tunaulizana nifanye biashara gani😋
 
Kwa biashara ipi!!??
Zama hizi
 
Mkuu mbona kama hii ni chai, una ushahidi wa mtu aliyelipa 35m Kumtoa mtu kwenye frem akalipa bei ya pango tena??
 
Nakuunga mkono kuna jamaa mmoja pale Kariakoo yeye anafrem pia ana store, aisee kwanza jamaa kwenye frem yake kawaweka vijana wawili hao vijana wanasample kadhaa hapo dukani ukitakaa sample moja ya mzigo mkubwa wana viredio call basi wanampigia boss wao kwa kutumia redio call huko store wanamuuliza aina hii ipo basi basi boss akijibu ipo dakika chache unaletewa mzigo.

Jamaa wanapiga kazi kwelikweli na hii hali.
 
Ukitaka kuamini anza na frem za serikali pale stand Mpya unaweza ukawaza hawa wanamkomoa nani? Mkurugenzi wa jiji alikaa na madiwani wapi kuunda utopoto huu
Hata mimi nimeshangaa naishi Mbezi mwisho, hii serikali hii ni tabu tupu
 
Hahahaha kwa sauti yaani
 
Na wewe wekeza watoto wako wasije kulaumu kama unavyomlaumu babu yao!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Eti kapaliwa na ukoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…