Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

TUZO YA MVP MWANAMKE CELEBRITY WA KIBONGO


  • Total voters
    74
  • Poll closed .
Kwa zaidi ya 50% nafahamu maisha yao ni jukumu lao wenyewe lakini hawa watu wana mioyo migumu sana.

Kuna Celebrity mmoja hapa nilimpenda sana ila nilivyokuja kumuona karibu kila interview sijui ni kujisahau anajikuna huku chini, NILICHOKA!

Mimi SIPIGI kura leo.
Hahahaha sasa kujikuna kwani kuna shida gani mkuu...
 
Katika jamii ambayo mwanamke ananunuliwa ili kuwa kwenye ndoa, hakuna anachoweza kukomalia hivyo.
Lakini hauoni kwamba kunahitajika reforms kwenye taasisi ya ndoa Tanzania, maana kwa kweli hali inatisha, life expectancy ya ndoa siku hizi ni miaka 4 watu wanagawana vijiko
 
sijaona chochote hapo, zaidi ya Malaya wenye majina makubwa.
Mmh, hapana upo too much deluded mkuu... mtu anaweza kuwa malaya ndio ila hawezi tu kuwa malaya ikamfanya awe na ushawishi wa kuwa followed na watu zaidi ya milioni 10, maana yake ana kitu cha ziada
 
Watu wataamua wenyewe ndoa zao ziweje. Usitake kuwalazimisha ndoa zao ziweje.
Ingalikuwa Tanzania ipo demokracy ya kutosha huenda kungetokeaga vyama vya kupigania agenda ndogo ndogo kama hizi, tungekuwa tunazisikia sana bungeni
 
Back
Top Bottom