Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

TUZO YA MVP MWANAMKE CELEBRITY WA KIBONGO


  • Total voters
    74
  • Poll closed .
Sio mbaya mkuu, vipo kwa maslahi na mustakabali wa taifa
Kama wewe ni mjinga huwezi kuchagua mwanamke mzuri, huwezi kukaa na mwanamke vizuri, hakuna chama cha siasa kitakachoweza kukusaidia.

Utampeleka mkeo kwenye chama cha siasa watu watakusaidia kumpa dozi tu.

Halafu utagundua na kuongeza maumivu tu.
 
Jamani washindi wetu ni

1. Vanessa Mdee
2. Hamissa Mobeto

Kwakuwa V Money hayupo bongo, Hamissa Mobeto ndo MVP Celebrity Mwanamke Tanzania, na ni bahati nzuri pia, sio chawa wa CCM.

HONGERA HAMISA MOBETO
 
Back
Top Bottom