Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha sasa kujikuna kwani kuna shida gani mkuu...Kwa zaidi ya 50% nafahamu maisha yao ni jukumu lao wenyewe lakini hawa watu wana mioyo migumu sana.
Kuna Celebrity mmoja hapa nilimpenda sana ila nilivyokuja kumuona karibu kila interview sijui ni kujisahau anajikuna huku chini, NILICHOKA!
Mimi SIPIGI kura leo.
😂Hahahaha sasa kujikuna kwani kuna shida gani mkuu...
Katika jamii ambayo mwanamke ananunuliwa ili kuwa kwenye ndoa, hakuna anachoweza kukomalia hivyo.Hii kampeni ni vizuri ikaanza kwenye ndoa zetu.. wakinadada wakikomaa na hili ndoa zitadumu sanaa... 🤣🤣🤣🤣
Lakini hauoni kwamba kunahitajika reforms kwenye taasisi ya ndoa Tanzania, maana kwa kweli hali inatisha, life expectancy ya ndoa siku hizi ni miaka 4 watu wanagawana vijikoKatika jamii ambayo mwanamke ananunuliwa ili kuwa kwenye ndoa, hakuna anachoweza kukomalia hivyo.
Piga kura yako mkuuHamisa Mobetto sio powa
Weka kura yako mkuu twende sawaNaenda na zuchu
Bado wapo under 40 naamini ni mabinti halafu pia ni celebrities huwezi kukataa huo ukweliMabint au mashangazi
Mmh, hapana upo too much deluded mkuu... mtu anaweza kuwa malaya ndio ila hawezi tu kuwa malaya ikamfanya awe na ushawishi wa kuwa followed na watu zaidi ya milioni 10, maana yake ana kitu cha ziadasijaona chochote hapo, zaidi ya Malaya wenye majina makubwa.
Sasa unataka wabaki kwenye ndoa zisizo na maelewano wachinjane?Lakini hauoni kwamba kunahitajika reforms kwenye taasisi ya ndoa Tanzania, maana kwa kweli hali inatisha, life expectancy ya ndoa siku hizi ni miaka 4 watu wanagawana vijiko
Ndo ifanyike reforms mkuu, watu wa enjoy ndoa ziwe tamuSasa unataka wabaki kwenye ndoa zisizo na maelewano wachinjane?
Watu wataamua wenyewe ndoa zao ziweje. Usitake kuwalazimisha ndoa zao ziweje.Ndo ifanyike reforms mkuu, watu wa enjoy ndoa ziwe tamu
Ingalikuwa Tanzania ipo demokracy ya kutosha huenda kungetokeaga vyama vya kupigania agenda ndogo ndogo kama hizi, tungekuwa tunazisikia sana bungeniWatu wataamua wenyewe ndoa zao ziweje. Usitake kuwalazimisha ndoa zao ziweje.
Mnataka vyama upinzani vya kupigania ndoa?Ingalikuwa Tanzania ipo demokracy ya kutosha huenda kungetokeaga vyama vya kupigania agenda ndogo ndogo kama hizi, tungekuwa tunazisikia sana bungeni
Sio mbaya hilo likiwepo mkuu, au waonaje wewe?Mnataka vyama upinzani vya kupigania ndoa?
Ukishataka chama cha upinzani kipiganie ndoa yako huna ndoa hapo.Sio mbaya hilo likiwepo mkuu, au waonaje wewe?