Kuna uhusiano gani kati ya dini na mapenzi?Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
Mwanamke Hana Dini, Sijui ulifundwa wapi wewe jambo jepesi kama hili unashindwa kuling'amua.Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
kwa point yake mkaoane serikalini.Ikifika suala la ndoa inakuaje?@maweed
mwanamke hana dini??Mwanamke Hana Dini, Sijui ulifundwa wapi wewe jambo jepesi kama hili unashindwa kuling'amua.
Sasa huko kwenye ndoa si ndo utakuwa unalia kila siku maana huko ndo kugumu zaidi.
mtakuja kupata watoto mtawalea kwa misingi ya dini ya nani??Sio lazima kubadili dini mkipendana kwa dhati inatosha kila mtu ataabudu anakokujua
SerikaliniIkifika suala la ndoa inakuaje?@maweed