Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mmh kwa mond hapo chai..Prof Jay,Sugu,Mond.
Nasikia jamaa ni mtata sema tu hana ujana ujana wa kidwanziPro. J???
DoohhNasikia jamaa ni mtata sema tu hana ujana ujana wa kidwanzi
Ulishaona mondi kapigwa mtama kiboyaa.Mmh kwa mond hapo chai..
Duh ila jamaa kimuonekano tu hafaiZola D mwenyew anajiita moto wa tipa
Yule si escort ya bauncers inambebaUlishaona mondi kapigwa mtama kiboyaa.
ππPro. J???
HahahaaaaHapo Ngumi Jiwe ni:-
Kalapina
Zola D
Dudubaya Kashazeeka Pombe zimemuharibu kwasasa hata NYANDU TOZI anamkalisha DUDU.
I ππHapo Ngumi Jiwe ni:-
Kalapina
Zola D
Dudubaya Kashazeeka Pombe zimemuharibu kwasasa hata NYANDU TOZI anamkalisha DUDU.
Kuna story kwamba Kalapina aliwahi kuwatishia Nako2Nako kuwapa kisago wakaogopa na kukimbilia Arusha π€£π€£π€£Katika wote hao pina aliwai kumdunda chid benz hadharan had akakimbia mwenyewe maisha club dudu baya alidundwa akakimbia bil cana club prof jay hana huo uboya zola d anajiheshimu waliopigana akili zao zinafafana na wote ni adam mchomvu type