Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya

Wewe unahisi nani ni fire?

Professor Jay ?? [emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom