Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Alimkataga kofi afande selle hadi akaongea kirastamani
P funk majan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P funk majan
Yule alievua suruali jukwaani akabaki na boxerHivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
Wewe unahisi nani ni fire?
yupi huyoKuna skendo ilizungukaga mtaani kwamba kikosi cha mizinga walimtoa marinda mwana hip hop moja baada ya kuwatukana
Aaah wap zola d.. namba nyinginee mkuuZola D anakalisha mandezi wote ila kwa pina anaweza akakaa
Zola D anakalisha mandezi wote ila kwa pina anaweza akakaa
Naye yuko poa eeh?Bou nako
Zola D anakalisha mandezi wote ila kwa pina anaweza akakaa
Hakuna mtu muoga kama pinaZola D anakalisha mandezi wote ila kwa pina anaweza akakaa
Mbona naskia yule bou nako sijui aliwadhibit jamaa wa kikosi cha mizinga kama sita hivi wakampiga na nondo wenzake kuskia wakala kona..Kuna story kwamba Kalapina aliwahi kuwatishia Nako2Nako kuwapa kisago wakaogopa na kukimbilia Arusha 🤣🤣🤣
Ni kweli au chai ?
Pfunk ni msanii wa taarab au bongo muvi?P FUNK Mnamchukulia poa.
Waleta thread wa siku hizi uji kweli.