Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #81
[SUB]Huyu[/SUB]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona anaonekana na anasifikA kama mtata hivi... au ndo mikwalaPina ananiamkia shikamoooo
Kabla ya kikosi kuwepo block 41
Pina bado dogo sana, blok kulikuwa na maskani inaitwa Indianapolis kaka zake ndiyo walikuwa pale
Pina kama pina ni mtu muoga hakuna mfano
Upande huo wa kwao mtu aliyekuwa vzr Labda Dani kwa wakati huo
Ila Zola d yuko fit anacheza ngumi anapiga mateke
Usipime.......
Ova
kwa walaini lainiPina ugomvi wake ulikuwa club, sleepway, masaki, upanga kwa Watoto wa kishuwa
Ova
Dah!Kingkiba anauwezo wa kuingia pale Lugalo kambini na kuchakaza wajeda wote sema hapendagi huo ujinga
Mkwala anategemea vikundi tumbona anaonekana na anasifikA kama mtata hivi... au ndo mikwala
halafu hana mazoezi inaoneshaPina saivi kazeeka atapigwa ila enzi za ujana wake huyo Zola D angekalishwa dk 0 tu
Hahahah huwezi jua ila kwa body Pina amekaa kizembe sana now.Hebu angalia kwanza sura zenyewe halafu uniambie pina atamkalisha vipi Zola DView attachment 1541257View attachment 1541258View attachment 1541259
mpaka konde boy??Hiyo list yako bila Msaga sumu sijaielewa bado jamaa nasikia ni hatari waimba singeli wenzake wengi amewakalisha wakimzingua
Huyu si alipigwa na fetty huyuAdam mchomvu
Heee kumbe kalapina alikalishwa na jamaaMtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.
Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli
Sasa wewe si ushakuwa legend saivi na kitambi?Pina ananiamkia shikamoooo
Kabla ya kikosi kuwepo block 41
Pina bado dogo sana, blok kulikuwa na maskani inaitwa Indianapolis kaka zake ndiyo walikuwa pale
Pina kama pina ni mtu muoga hakuna mfano
Upande huo wa kwao mtu aliyekuwa vzr Labda Dani kwa wakati huo
Ila Zola d yuko fit anacheza ngumi anapiga mateke
Usipime.......
Ova
Harmonize kwa msaga sumu ndio hamna kitu kabisaa anaweza kaa ndani ya dk 3 tumpaka konde boy??
Pina hawezi gusa hata dk kwa zola.Zola habari nyingine ile,Zola kacheza michezo yote ya ngumi unayoijua wewe duniani mpaka ana mikanda mbali mbali ya kimedani.Zola D anakalisha mandezi wote ila kwa pina anaweza akakaa
Mpaka mieleka?Pina hawezi gusa hata dk kwa zola.Zola habari nyingine ile,Zola kacheza michezo yote ya ngumi unayoijua wewe duniani mpaka ana mikanda mbali mbali ya kimedani.