Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

kuna fight moja ya kaseba na cheka ilpgwa jamhuri-moro, kaseba alchezea sn vitasa mara paap akatokea Zora dah! jamaa almrusha cheka kutoka kwenye ring hadi nje kama kashka karatasi
Nakumbuka hili tukio......Uyo Zola d a.k.a unde.....Ni noma alikalisha wote na aliingia Hadi kwenye ulingo
 
Mtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.

Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli
Bou hafai kaka.. Msikie tu
 
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes


Wewe unahisi nani ni fire?
Adam Mchomvu
Hasa sekta ya mitama😅
 
Back
Top Bottom