Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
KalaPina na kikosi chake cha mzingaKuna story kwamba Kalapina aliwahi kuwatishia Nako2Nako kuwapa kisago wakaogopa na kukimbilia Arusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli au chai ?
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
Wewe unahisi nani ni fire?
P funk majan
[/QUOMajani aliwahi kumpiga afande sele makofi pale bongo records.
Kisa afande alivuta bange wakati Mama yake P amekataza
hahahaHapo Ngumi Jiwe ni:-
Kalapina
Zola D
Dudubaya Kashazeeka Pombe zimemuharibu kwasasa hata NYANDU TOZI anamkalisha DUDU.
Unamuonea mkuuFid q
Mimi nilikuwaga mbabe primary, nlikuwa napiga shule nzima.
Duh ila jamaa kimuonekano tu hafai