Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?
We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?
Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.
Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.
Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.
Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.
Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)
Kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.
They don't need Love,
They need help.