Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
nikweli ulichokisema but unaeza kukuta huyo ambae ni mwanaume hana upendo WA dhati kama huyo single mo cha msingi upendo tu WA kwël mengine yanajengeka maisha yanaenda ko tuwaache tuu ambayo wanawapenda masingle mother tusiwaharibu fikra zao kwa maslai Yao mwishowe tukiwatenga Hawa masingle mother wataolewa na Nan tena na wataishi VP au ukiachika ndø basi tena katka ulimwengu WA mapenz let's dem dø as they wish na maisha yasonge jee wewe ndø ungekua singly dad usingle OAA 👐☝️
 
Katika kazi ngumu kwa sasa ni kuwatetea single maza na jeshi la polisi. Wananchi wana hasira sana na haya makundi mawili. Single mama wenye akili ni wachache mno. Utakuta kwa nchi nzima hawazidi wanne. Historia ya single mama wengi ni kuwa micharuko enzi wakiwa kwenye peak. Kuanzia hapo kwenye miaka 17 hadi 25 mabinti wengi wanakuwa hawashikiki. Ndo nyakati ambazo humsikiliza zaidi boyfriend kuliko hata mzazi. Matokeo yake ni kuwa single mama.

Halafu single mama wengi hupenda sana kuabudu mizimu. Wale single mama waliofiwa na baba watoto wao huendelea kusheherekea birthday za marehemu. Kimsingi wewe mumewe unakuwa huna thamani kumzidi marehemu baba watoto wake. Mimi ninawasihi vijana wasioe single mama hata kama alifiwa na baba watoto wake.
 
You made a mistake,and you've been paid in full.

Lesson learnt. Collect your self,move on,nigga.
It hits harder like a 50kg hammer on the scrotum. Let me sit there and cherish my freedom.
She has made a monster that other women wont handle..
She said, I have moved on so what is your say on this? I kept quiet coz I had her friends in the name of my babies. This time my mom beholding her grand children.
Soon my papa told me be a man take those children give them to her and move on silently, make money, get a life and enjoy whatsup kid?
After I gave her the kids she realized that she cant move on now she is questioning me what are they going to eat? And like..these kids need to be dad parented. I'm like what the f*cking hell??
Engineer your thoughts please!!!
Help me get peace my fellow men.
 
It hits harder liko a 50kg hammer on the scrotum. Let me sit there and cherish my freedom.
She has made a monster that other women wont handle..
She said, I have moved on so what is your say on this? I kept quiet coz I had her friends in the name of my babies. This time my mom beholding her grand children.
Soon my papa told me be a man take those children give them to her and move on silently, make money, get a life and enjoy whatsup kid?
After I gave her the kids she realized that she cant move on now she is questioning me what are they going to eat? And like..these kids need to be dad parented. I'm like what the f*cking hell??
Engineer your thoughts please!!!
Help me get peace my fellow men.
After man leaving a house,woman start realizing that life without man is not worth living.

All she has right now is regret!!

Just let her perish.
 
You can imagine and not feel, if you could have felt, then you couldnt have started with laughter..
Laughter have various meanings my brother. Mine means sadness and not happiness. I feel sorry for you for the state you are in right now. Please change your attitude towards women and live your life to the fullest.
 
IGWE has spoken, reffering to me.

"From now you have been punished from this community( Land of women) and its an abomination to be seen alongside any woman. Otherwise the gods will punish you forever."
 
Katika kazi ngumu kwa sasa ni kuwatetea single maza na jeshi la polisi. Wananchi wana hasira sana na haya makundi mawili. Single mama wenye akili ni wachache mno. Utakuta kwa nchi nzima hawazidi wanne. Historia ya single mama wengi ni kuwa micharuko enzi wakiwa kwenye peak. Kuanzia hapo kwenye miaka 17 hadi 25 mabinti wengi wanakuwa hawashikiki. Ndo nyakati ambazo humsikiliza zaidi boyfriend kuliko hata mzazi. Matokeo yake ni kuwa single mama.

Halafu single mama wengi hupenda sana kuabudu mizimu. Wale single mama waliofiwa na baba watoto wao huendelea kusheherekea birthday za marehemu. Kimsingi wewe mumewe unakuwa huna thamani kumzidi marehemu baba watoto wake. Mimi ninawasihi vijana wasioe single mama hata kama alifiwa na baba watoto wake.
😂😂😂😂😂 Nilipobold Aiseee nimecheka hadi machozi!
 
Back
Top Bottom