Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Baadaye uje na swali inakuaje wanawake wengi siku hizi wanakubali kuolewa na wanaume wenye watoto
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Weka akiba ya maneno mkuu,siku moja utatengua kauli yako.
 
Mbususu zao tamu wewe acha tuu...alafu faida ya single maza unajua anayekugegddea mke wako na posibility ya ghreesome ipo juu.
Kwa hayo manufaa mie hamnitoi kwa single mama
 
Asanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.

Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.

Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata

Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.

Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.

Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.

Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.

Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena

Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.

Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.

Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.

Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.

Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Ukweli mchungu,hizi nyuzi sio kama lengo ni kuwadhalilisha single mothers,lengo ni kutengeneza awareness kwa dada zetu ambao bado hawajaingia kwenye huu mtego wa kuzaa kabla ya ndoa,ili wapambane wawezavyo waolewe wakiwa hawajazaa...
 
Asanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.

Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.

Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata

Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.

Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.

Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.

Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.

Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena

Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.

Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.

Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.

Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.

Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Aiseee,ujumbe mzito sana huu,umechoms moyo
 
Hii point yenu ya kupasha kiporo haina mantiki maana hakuna mke ambaye hatombwiii huko nje so bora nimjue anaye mgegeda mke wangu na kumkaribisha tugonge threesome
 
Maisha ya mwanadamu, tabia, matukio hayajawahi kuwa na formula kama Archmedes Principle, hayo mambo unayoongea hapo ni madharia na hisia zako au misimamo yako..
1.Kuna single mothers walioachwa, kimbiwa
2.Kuna wanawake walikutana na wanaume waoga wa maisha - wanazalisha, wanasepa..
3.Kuna wanawake tabia mbovu wameshindaka kuolewa
4.Kuna wengine kizazi kipo karibu kacheza kidogo.mimba hii hapa wakati hapakuwa na commitment.

Kumbuka hakuna mwanamke anajipa mimba, unapowasema hao wanawake as if ndo EVIL ujue kuna wanaume wamewalala na wanaendelea kuwalala .
Thus ukiongelea single mother ujue kuna uwezekano wa kuwa na mwanaume muharibifu na mhuni nyuma.
Sio kwamba single mothers ni evil na sio kwamba wanawake wote ambao sio single mothers ni watakatifu.
Tena utakuta ni kinyume chake..mwanamke aliyetiwa mimba akaachwa, hakutoa mimba, kalea kazaa..huyo kajitahidi..wengine wanalalwa kila siku - wanapata mimva wanatoa au wanatumia ma P2..then hao ndo mnakuja kujurana nao kwenye ndoa..mimba zinakataa...

Hivyi kila mtu awe huru, kama kuna s.m umemuelewa beba tu muanze maisha, kama wewe hupendi s.m tafuta wengine waliharibu vizazi kwa P2 au ambao wamejaaliwa kujitunza then anza. Lkn mwisho wa siku mkiingia kwenye ndoa mtangua YOTE ni ubatili tu...
Kupanga ni kuchagua lkn sio kila chaguo lako upangie wengine.
Kwenye hili nakataa sio kila mwanamke ambaye hana mtoto alitumia P2 au njia zingine za kutoa mtoto au kila single mother hakuwahi kutumia P2 au njia zingine za uzazi.unaweza kuwa ni single mother na akawa amewahi kutoa mimba sema umechagua yupi azae nae naongea hili kwasababu ninawajua kabisa baadhi ya single mother walitoa mtoto wengine marafiki zangu wakaribu
 
Hao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.

Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.

Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.

Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.

Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Nigga!! Nigga!!! Nigga!!
How many times did I call you?
Nilifanya kama wewe tena kwa kufichwa baadae ndio mtoto akaletwa toka kwao, nikajivesha mahogo..
Mwaka wa kumi ulivyoingia Booom shakaraka!!! Maisha yangu yakasambaratishwa kisa yule yule mtoto niliyemkuta nae..
Now I'm like a living dead.
I dont want to hear about marriage and I dont wanna get in bed with a woman till death..

Cc Atoto
 
Tatizo sio single mother bali single mother ambaye baba watoto wake yuko hai wanasumbia sana kwenye mahusiano.

Binafsi naishi na single mother nimezaa naye watoto wawili na yeye ana watoto wawili kwa mwanaume aliyekwishafariki maisha ni vyema tu .

Kuna mdau hapo juu ameandika mapenz ni kama majani huota popote kwahiyo usimpangie mtu wa kumpenda maana hata hao ambao sio single mother wanasuumbua kama kawaida kwenye ndoa zao.
 
Nigga!! Nigga!!! Nigga!!
How many times did I call you?
Nilifanya kama wewe tena kwa kufichwa baadae ndio mtoto akaletwa toka kwao, nikajivesha mahogo..
Mwaka wa kumi ulivyoingia Booom shakaraka!!! Maisha yangu yakasambaratishwa kisa yule yule mtoto niliyemkuta nae..
Now I'm like a living dead.
I dont want to hear about marriage and I dont wanna get in bed with a woman till death..

Cc Atoto
Very sorry Nigga. The good thing with me is that I have prepared myself psychologically for the unexpected.
Usikata tamaa mkuu. Don't let your past destroy your bright future. Look for another women and make her your wife
 
Miaka mitatu ni ya kutembea kifua mbere kweri kwa ushahidi huu?

Ushawahi jiuliza ikiwa siku mumewe akirudi au akafahamu aliko, mustakabali wako wewe msamaria utakuwaje?
Miaka mitatu kukaa na hawa viumbe sio mchezo.
Mi nilishajiandaa kisaikolojia. Akijitokeza na nikaona kuna dalili za kupasha viporo nakaa zangu pembeni.
Hilo analijua vizuri tu.
 
Very sorry Nigga. The good thing with me is that I have prepared myself psychologically for the unexpected.
Usikata tamaa mkuu. Don't let your past destroy your bright future. Look for another women and make her your wife
Heeey!! IGWE must hear this!!!

I'm confused, she grinded my heart for ten complete years only lastly to come and tell me that her daughter is more important than me plus our future?
Great dissapointment and she did my heart a massacre.

Atoto
 
Chinekeee o.
Despite all the appointments you got from that silent killer you called your wife, calm down, move on and look for another wife.
 
Back
Top Bottom