jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kweli mimi nina wapenzi watatu wawili single mother sasa hao single mother wana nifosi niwaoe Mimi roho yangu inakataa maana nitaonekana mjinga yani kijana wa kisasa nioe Mwanamke aliyezalishwa yani ata Baba yangu na Babu zangu walioa Mabinti, Babu yangu alioa wake watatu wote walikua Mabinti na Baba yangu alioa wake wawili wote walikua mabinti kwahiyo sisi watoto wote Baba yetu Mmoja na ukoo mmoja na ata kwenye urithi hakuna shida tofauti na Baba yetu angeo Mama zetu wakiwa na mitoto ya nje ya ndoa ingeleta shida.Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..