Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
AiseeeeeeSingle mother muombe GOTI akigoma muache aende kwa Baba mtoto wake aliemtoa bikra ya GOTI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeeeSingle mother muombe GOTI akigoma muache aende kwa Baba mtoto wake aliemtoa bikra ya GOTI
Don't marry single mothers,
They don't need Love,
Hakuna single father wala mwanaume Malaya duniani.Vipi na single father??
Chapa ilaleHuu uzi umenipiga utosini. Kuna single maza niko nae kwa relation sasa na huu uzi naona umepiga kwenye mshono naona nyota nyota hapa
Kwani wanatoa mimba ni wale tu wasio na watoto?Mkuu umepiga mulemule! Hili takataka ukute limeoa mwanamke aliyechoropoa mimba mpaka basi!
Natafuta AjiraMwamba uko wapi nije nikutembelee tupige story za haya malezi! Mama wadogo wanataka kujichanganya kwangu nataka nije niwalipue. Maana wanajiona wao kama malaika wakati na wenyewe walienda kwa waume zao wakiwa na watoto! Sasa wanamwona my wife kama mtu wa hovyo na mimi wananiona mpuuzi eti kwa nini sikuoa kabinti! Wanafikri siri zao hatuzijui eti tulikuwa watoto! Nitawalipua hawatakaa wanisahau na kama ka undugu kanakufa wacha kafe mamanina zao! Nitawauliza walivyotutelekeza tulivyoondokewa na maza wetu tukiwa wadogo hiyo huruma sasa hivi wameitoa wapi?
Pole sana mkuu kwa uliyopitia. Yawezekana hao mama wadogo walikuwa na mambo meusi baada ya kuolewa wakiwa single mothers, kwa hiyo wanaamini single mothers wote wako hivyo.Mwamba uko wapi nije nikutembelee tupige story za haya malezi! Mama wadogo wanataka kujichanganya kwangu nataka nije niwalipue. Maana wanajiona wao kama malaika wakati na wenyewe walienda kwa waume zao wakiwa na watoto! Sasa wanamwona my wife kama mtu wa hovyo na mimi wananiona mpuuzi eti kwa nini sikuoa kabinti! Wanafikri siri zao hatuzijui eti tulikuwa watoto! Nitawalipua hawatakaa wanisahau na kama ka undugu kanakufa wacha kafe mamanina zao! Nitawauliza walivyotutelekeza tulivyoondokewa na maza wetu tukiwa wadogo hiyo huruma sasa hivi wameitoa wapi?
Mkuu, uko kwenye ndoa?Jipige kifua utamke, " Ila nilikosea sana kuoa mke wa mtu!"
Usijidanganye kaka ,huyo single mother anajua aliko mwenzie wanawake ni viumbe tataHao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.
Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.
Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.
Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.
Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Kwa hiyo wewe andazi hapo ulipo unajiona uko safe? Usijiaminishe kwamba eti kwa vile ulioa msichana hawezi kuchapa na ka ex kake!Usijidanganye kaka ,huyo single mother anajua aliko mwenzie wanawake ni viumbe tata
Nipo siti ya mbele kabisa. Mwamba ameandika maneno mazito sana na yenye ukweli kiwango cha lami.
Naamin kwamba hajui aliko baba wa mtoto na sijawahi kuhisi udanganyifu wowote. Lkn anajua kuwa ktk hili akijichanganya tu anarudi kwao. Huwq namkumbusha mara kwa maraUsijidanganye kaka ,huyo single mother anajua aliko mwenzie wanawake ni viumbe tata
We jamaa single maza hazina bahat kwa uzi huuAsanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.
Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.
Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata
Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.
Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.
Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.
Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.
Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena
Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.
Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.
Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.
Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.
Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Kusema ukweli mzito kama huu imekuwa ni mwiko kwa muda mrefu katika hii jamii lakini nina uhakika kama ukweli wa namna hii ungeanza kusemwa mapema pengine jamii yetu ingekuwa bora sana miaka hii.Asanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.
Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.
Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata
Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.
Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.
Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.
Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.
Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena
Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.
Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.
Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.
Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.
Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Wewe hauwajui hawa watu vizuri,atakufurahisha ipo siku hautaamini. Kupretend ndio professional yao ya kwanza. Ya pili ni kumtumia mwanaume,ya tatu ni kumuumiza na kumuacha vibaya. Trust me on this. They are ungrateful and they are proud of it.Naamin kwamba hajui aliko baba wa mtoto na sijawahi kuhisi udanganyifu wowote. Lkn anajua kuwa ktk hili akijichanganya tu anarudi kwao. Huwq namkumbusha mara kwa mara
Bado kuna wajinga wanashikwa vichwa huku,kosa ni hatupigi za kichwa eneo la shingo bado wanapumua.Nahisi hili somo lilishaeleweka toka kitambo
Na huu ndio upuuzi wenyewe sasa, unakwenda kuweka rehani future yako sababu ya uke used halafu unajiona mjanja kumbe ni tatizo kabisa.Hujawahi kufinyiwa kwa ndani wewe, fanya uwaonje uone
Ukiona umepewa umewa matendo 10 ya mtu, kati ya hayo matendo 10 ni matendo 8 mabaya na 2 ndio afadhali then bila aibu ukasema then huyu mtu wewe unamthaminisha kama mtu bora na asiye na tatizo then jua wazi wazi kuwa wewe kwanza ndie tatizo kubwa kwenye jamii sababu ndie unampa nafasi huyo mwenye shida kuhalalisha tabia zake mbovu kuwa halali.Hao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.
Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.
Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.
Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.
Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Kweli mkuu halafu wanakuaga na chuki moyoni iliyojificha.Katika kazi ngumu kwa sasa ni kuwatetea single maza na jeshi la polisi. Wananchi wana hasira sana na haya makundi mawili. Single mama wenye akili ni wachache mno. Utakuta kwa nchi nzima hawazidi wanne. Historia ya single mama wengi ni kuwa micharuko enzi wakiwa kwenye peak. Kuanzia hapo kwenye miaka 17 hdi 25 mabinti wengi wanakuwa hawashikiki. Ndo nyakati ambazo humsikiliza zaidi boyfriend kuliko hata mzazi. Matokeo yake ni kuwa single mama.
Halafu single mama wengi hupenda sana kuabudu mizimu. Wale single mama waliofiwa na baba watoto wao huendelea kusheherekea birthday za marehemu. Kimsingi wewe mumewe unakuwa huna thamani kumzidi marehemu baba watoto wake. Mimi ninawasihi vijana wasioe single mama hata kama alifiwa na baba watoto wake.