TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Hawa single Mama nilikuwa nawatetea, ila ni kulanina, fakeni mtovelo lavish😬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAisee,
Labda alizamia South huko. Siku akirejea ndo utajua kwa nini Masai hali nyama pori
Ukibahatika wanatoa mbususu kiroho safi yaani yooteHao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.
Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.
Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.
Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.
Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Wamekufanyaje mkuu ebu toa story kidogoHawa single Mama nilikuwa nawatetea, ila ni kulanina, fakeni mtovelo lavish😬
Hahaha hadi maji ya dawasa wanafungulia. Hadi sasa nainjoi sanaA
Ukibahatika wanatoa mbususu kiroho safi yaani yoote
Huyu kazingua muache aende kulalaninaWamekufanyaje mkuu ebu toa story kidogo
Noo broo sio actress, hawa viumbe hususan unaokuta wampitia sehemu kama bar au club ni wana nguvu za ziada wanazoweka kwenye uchi wao hivyo unapoingia mle anakumaliza kabisa kwasababu unakuta ana roho ya kisasi dhidi ya jinsia me.Dah bro issue yako ni nzito sana, miaka 10 sio mchezo, kweli mwanamke anazaliwa tayar ni "world class actress"
Shida ya single mother ni huyo kidume alie mzalisha, minds you mostly unakuta jamaa ndo alichimba(akamuaacha) so wewe ukioa binti akapendeza, jamaa anaweza kurudi kwa style ya kulea mtoto akapata nafasi ya kumlaghai binti na mambo yenu yakaharibika.Maisha ya mwanadamu, tabia, matukio hayajawahi kuwa na formula kama Archmedes Principle, hayo mambo unayoongea hapo ni madharia na hisia zako au misimamo yako..
1.Kuna single mothers walioachwa, kimbiwa
2.Kuna wanawake walikutana na wanaume waoga wa maisha - wanazalisha, wanasepa..
3.Kuna wanawake tabia mbovu wameshindaka kuolewa
4.Kuna wengine kizazi kipo karibu kacheza kidogo.mimba hii hapa wakati hapakuwa na commitment.
Kumbuka hakuna mwanamke anajipa mimba, unapowasema hao wanawake as if ndo EVIL ujue kuna wanaume wamewalala na wanaendelea kuwalala .
Thus ukiongelea single mother ujue kuna uwezekano wa kuwa na mwanaume muharibifu na mhuni nyuma.
Sio kwamba single mothers ni evil na sio kwamba wanawake wote ambao sio single mothers ni watakatifu.
Tena utakuta ni kinyume chake..mwanamke aliyetiwa mimba akaachwa, hakutoa mimba, kalea kazaa..huyo kajitahidi..wengine wanalalwa kila siku - wanapata mimva wanatoa au wanatumia ma P2..then hao ndo mnakuja kujurana nao kwenye ndoa..mimba zinakataa...
Hivyi kila mtu awe huru, kama kuna s.m umemuelewa beba tu muanze maisha, kama wewe hupendi s.m tafuta wengine waliharibu vizazi kwa P2 au ambao wamejaaliwa kujitunza then anza. Lkn mwisho wa siku mkiingia kwenye ndoa mtangua YOTE ni ubatili tu...
Kupanga ni kuchagua lkn sio kila chaguo lako upangie wengine.
Kiongozi, miaka Mitatu bado haitoshi kutoa shuhuda. Subiri wakati Mtoto atakapokuwa na Baba yake amerudi kwenye maisha ya Mwanae na Mkeo, utaelewa vizuri.Very sorry Nigga. The good thing with me is that I have prepared myself psychologically for the unexpected.
Usikata tamaa mkuu. Don't let your past destroy your bright future. Look for another women and make her your wife
Real niggaz bounce back, don't keep your ass down.Nigga!! Nigga!!! Nigga!!
How many times did I call you?
Nilifanya kama wewe tena kwa kufichwa baadae ndio mtoto akaletwa toka kwao, nikajivesha mahogo..
Mwaka wa kumi ulivyoingia Booom shakaraka!!! Maisha yangu yakasambaratishwa kisa yule yule mtoto niliyemkuta nae..
Now I'm like a living dead.
I dont want to hear about marriage and I dont wanna get in bed with a woman till death..
Cc Atoto
Noma sana!Sii walishaonja joto la jiwe so full adamu wanajua thamani ya mwanaume
Dah nimecheka sana 😂😂Katika kazi ngumu kwa sasa ni kuwatetea single maza na jeshi la polisi. Wananchi wana hasira sana na haya makundi mawili
And thats it, niliambiwa mkuu twende mission mi nikaignore jeshi nikafata mapenzi cheki sasa hata laki moja sina, kazi sina ndio naanza kuitafuta kazi hata ya ubodyguardReal niggaz bounce back, don't keep your ass down.
Nikuombe tu mheshimiwa ujikite kwa hivi vibinti vinavyomaliza six fanya juu chini ukazalishe ( in Chenge's voice bungeni) ukikapa mimba watume wakwenu wakamalizie taratibu hapo mtakuwa na upper hand hata kwenye mahari na mambo mengine hamtanyanyaswa na upande wa ukweni.Mkuu hebu elezea(fafanua) vizuri nijifunze zaidi ,maana nataka kumzalisha mmoja
Tatizo mahali kwenyewe tulipokutania ndio kunatatanishs sana mkuu... Badoo 😫Kama ana tabia mbaya muache, kama ana tabia nzuri ukaamua kumuacha kwa hizi narrations za JF kuna siku utatuletea uzi na hatutakuwa na chakukusaidia.
Mimi siku zote mtu niliyekutana nae ukubwani huwa naangalia how good she/he can get! na Mental health yake kwa kiasi kikubwa itaamua uwezo wa kustick nae.
Nyie shauri zenu.
Nimekuelewa mkuuHuna msimamo mtoto wa kiume? Humu Kuna kila aina ya thread ya kuponda. Ukiishi kwa kufata JF utafika umechoka kijana
Mkuu, kukaa na mwanamke miaka mitatu sio mchezo.Kiongozi, miaka Mitatu bado haitoshi kutoa shuhuda. Subiri wakati Mtoto atakapokuwa na Baba yake amerudi kwenye maisha ya Mwanae na Mkeo, utaelewa vizuri.
Siku zote damu ni nzito kuliko Maji.
Kanuni za maisha huwa hazidanganyi ila endeleeni kujipa moyo tu..Kipondi uko unapambana kutafuta pesa kwenye Mvua , wao walikua chumbani wanapeana joto ...
Leo umejipata unaenda kufix matatizo ya mwanaume mwenzio , Stupid!!
Nitaweza kushawishika kama baba wa mtoto Alikata moto, Labda .
No matter mtoto alizaliwa kwa bahati mbaya au tamaa za ujana labda , point ni kwamba kuoa single mom ni kosa kubwa sana...Kanuni za maisha huwa hazidanganyi ila endeleeni kujipa moyo tu..
Mwanamke mwenye mtoto aliefiwa mzazi mwenzake anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye mtoto aliefiwa na mzazi mwenzie ili wawe sawa kwenye maisha..Ili mmoja akimuuliza mwingine mbona unaninyanyasia mtoto yule nae aulize hivyo hivyo.
hatuiti suluhu kama sio 1:1 au mbili mbili yaani ikibidi hata idadi ya watoto upande wapili ilingane na ya upande wa kwanza si simple reasoning tu?
Kama ulikosea kubali kuwa either ulikuwa teenager na ulikuwa bado na ujinga mwingi na ugeni juu ya ulimwengu wa mahusiano kama mimi, but usiendelee kulala kwenye hicho kitanda ukijifariji.. Wakeup mi nilikuwa 2o's but bado haiondoi kuwa lile nililofanya ni kosa but ninarekebisha no matter how far I have gone..
Sema uko naye na unatamba naye. Ila mkuu hauko sawa, mwanaume mwenue akili timamu hawezi kuoa single mama.Hao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.
Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.
Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.
Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.
Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.