Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Mkuu sasa kama kuwa single mother ni kasoro, si hiyo kasoro ita NEUTRALIZE baadaye?
 
Hahahah "hits harder like 50kg on the scrotum" made me roll down on laughters.

She's right, you gots to be the daddie man. Feed the nigglets please!
Sometimes we regret like..how did I get myself into this f*cking circle of life? Only to realize finally that you cant get away fully with your everything.
A lot of pain and you messed up your life..
Yesterday you could've seen me sitting along my children regreting a lot like what kind of life is this? This is not what I wished for.
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Roho mbaya tu imekujaa. Mkuu acha kuwabania single mothers; waache waolewe na mwanaume yeyote mwenye uwezo wa kutunza watoto wake. Wewe single mothers wakiolewa kinakuuma nini? Acha hizo mkuu.
 
Sasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"
Hakuna hicho kitu unless watoto wa B wawe na ustarabu tu
 
Ndoa ambayo imewin watoto ni ngumu sana kuifanyia marekebisho maana licha tu ya kwamba ni mtu mmejuana na kuzoeana muda mrefu lakini wale watoto wanabaki kama alama ya ushindi yaani unalazimika kuishi na mtu kwasababu ndio wako huyo na hata ukikataa bado ukifikiria unaona kabisa huyo ndio wako..
 
Umeongea ukweli mtupu na una uzoefu nao na unawajua kiundani zaidi. wengi wao wanataka uwalee watoto wao tu na hawataki kusikia habari ya kuzaa tena,Singe mother mwenye uchumi wake mzur na mtoto wake kwao siyo njaa huyo kidogo anaweza akakubali. kuzaa mapema kama utamuoa.
Na bahati ya kukutana na ma single maza Acha tu unaweza ukakataa km wameshaza
 
Hakuna hicho kitu unless watoto wa B wawe na ustarabu tu
Issue ya Mirathi kwa jamii yetu huwa haikwepeki maana huwa inasimamiwa na wanaukoo ambapo wao hufanya reasoning na utu hivyo lazima apate tu ni bora upate single maza mwenye mtoto wa kiume kuliko mwenye mtoto wa kike..
 
Napinga Hoja hii kwa point tatu kama ifuatavyo
Mbowe must Go
Yaragwira mkuyumba
Bakari jumanne Ruhiso where are you?
 
Issue ya Mirathi kwa jamii yetu huwa haikwepeki maana huwa inasimamiwa na wanaukoo ambapo wao hufanya reasoning na utu hivyo lazima apate tu ni bora upate single maza mwenye mtoto wa kiume kuliko mwenye mtoto wa kike..
Ndg yangu naongea Kwa uzoefu kabsa wala sio kubahatisha nimetoka kwenye familia ya Mzazi moja na wake wengi na bado kwenye familia kuna matabaka
1. Watoto wa Baba (Pekee yake haijarishi ni wa mwanamke gani)
2. Watoto wa Mama (Pekee yake haijarishi ni Mwanaume gani)
3. Watoto wa Baba & Mama ( Hapa ni watoto waliopatikana kwenye Joint hiyo)

Sasa Baada ya Mzee kufariki watoto waliopewa Mirathi na kupata Haki ya Kurithi ni watoto wa Mzee Pekee yake ambapo wanajijua na wanatambulika na wanawake zake wote idadi ilikuwa 12+ (Uwenda ss hii ndy Sababu ya kutoshirikisha watoto wa Baba mwingine kwenye Mirathi)
Kumbuka hapo kuna watoto Ambao sio wa Mzee kawalea toka wakiwa wadogo Shule hawajaanza lkn hata Suluari ya Mzee hawakupata.

Mtoto ambae sio wako SIO LAZIMA KUPATA MIRATHI inategemea na mapenzi ya watoto wenyewe waliishi vipi na Idadi ya watoto wa Mzee Kwa ujumla
 
Mkuu lakini si watapata urithi wa Mama yao ambaye ata rithi Mali za Mume wake?
Hapo ss Mrithi ni Mama na sio watoto Namna ya ugawanyaji wa gawio la mama tunachukulia km n Matumizi Binafsi (hatumpangi)
 
Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Mkuu hebu elezea(fafanua) vizuri nijifunze zaidi ,maana nataka kumzalisha mmoja
 
Sometimes we regret like..how did I get myself into this f*cking circle of life? Only to realize finally that you cant get away fully with your everything.
A lot of pain and you messed up your life..
Yesterday you could've seen me sitting along my children regreting a lot like what kind of life is this? This is not what I wished for.
You just stepped in it with twin toes, keep on pushing no room for regrets! Time waits for no man.
 
Mkuu sasa kama kuwa single mother ni kasoro, si hiyo kasoro ita NEUTRALIZE baadaye?
Kua single mom sio kasoro, hio ni profile yake, moja kati ya attributes zake, ni kama useme kuwa na mtoto ni kasoro, lahasha.
Sasa kama mwanaume, kwann uanze maisha na mtu ambaye mna profiles tofauti, kwann uanze maisha na mtu ambaye tayar ana maungamo na mwanaume mwingine?
Wanaume linapokuja swala la biashara au kazi, tunachagua the best available option, kwann tusifanye hivo hata kweny ndoa zetu??
 
Roho mbaya tu imekujaa. Mkuu acha kuwabania single mothers; waache waolewe na mwanaume yeyote mwenye uwezo wa kutunza watoto wake. Wewe single mothers wakiolewa kinakuuma nini? Acha hizo mkuu.
Nilikuwa tuu nawakumbusha wanaume wenzangu kwamba you have to choose the best option in front of you, una single mom mbele yako na mdada ambaye hana maungamo na wanaume wengine.

Choose wisely.
 
Nilikuwa tuu nawakumbusha wanaume wenzangu kwamba you have to choose the best option in front of you, una single mom mbele yako na mdada ambaye hana maungamo na wanaume wengine.

Choose wisely.
Imagine kama huyu wa kwangu inatokea mwanaume anajichanganya anaenda kumuoa maana najua atacheza tricks zile zile alizocheza miaka kumi iliyopita maana kwa kumsikiliza tu kaka yake nakiona kile kile ambacho nilitengenezewa miaka ile yaan now anataka apeleke watoto kwao mkoa mwingine then arudi mjini kuhangaika..
Ajaribu bahati kwa mara ya tatu tena
Sasa we unaeshupaza shingo naomba uje ukutane na huyu wangu baadae uanze kutafuta kama wazazi wenzake tulikufa!!
Hatufi mioyoni mwao na watoto hao ndio chanzo cha migongano isiyoisha sasa inapofikia hatua fulani yeye anakwambia nataka tuachane wakati huo tayari ashakuzalia mtoto au watoto..
 
Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.

Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.

Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Aisee,
Labda alizamia South huko. Siku akirejea ndo utajua kwa nini Masai hali nyama pori
 
Imagine kama huyu wa kwangu inatokea mwanaume anajichanganya anaenda kumuoa maana najua atacheza tricks zile zile alizocheza miaka kumi iliyopita maana kwa kumsikiliza tu kaka yake nakiona kile kile ambacho nilitengenezewa miaka ile yaan now anataka apeleke watoto kwao mkoa mwingine then arudi mjini kuhangaika..
Ajaribu bahati kwa mara ya tatu tena
Sasa we unaeshupaza shingo naomba uje ukutane na huyu wangu baadae uanze kutafuta kama wazazi wenzake tulikufa!!
Hatufi mioyoni mwao na watoto hao ndio chanzo cha migongano isiyoisha sasa inapofikia hatua fulani yeye anakwambia nataka tuachane wakati huo tayari ashakuzalia mtoto au watoto..
Dah bro issue yako ni nzito sana, miaka 10 sio mchezo, kweli mwanamke anazaliwa tayar ni "world class actress"
 
Back
Top Bottom