Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umechomoa bastola kwenye vita ya rungu?Roho mbaya tyuu.!!
Nyie wenyewe mmelelewa na baba sio wenu.. ila mmekua midomo mirefu km chuchunge 🤣🤣🤣
Kuna maneno umeandika 🤔🤔 yamefanya nimkumbe Single Mama moja hivi niliwai kuwa nae.Asanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.
Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.
Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata
Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.
Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.
Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.
Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.
Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena
Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.
Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.
Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.
Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.
Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Kwanza mpaka unafikia hatua ya kuanza kuchunguza hadi historia ya wife-mate wako maanake unampaka rangi donkey ili ageuke zebra, inshort wewe unadhani tunaopinga hili suala ni kwamba tunafanya fasheni?I know nice man always finish last ila katikati ya hizi comments au watu wanaosoma kimya kimya yupo mwanaume mmoja ambae alishamzalisha binti fulani na wapo wanalea mtoto kwa makosa ya kijana mwenyewe.
Vijana hawa ndio ambao wanaweza wakatoa ushuhuda mzuri kwa maana wanaelewa jinsi ambavyo walipendwa na hao mabinti waliowazalisha ila wao wenyewe ndio walikuja kumessup.
Sasa kwa mtazamo wangu ni kwamba...
Kuoa single mother sio shida kama umempenda ila kabla hujamuoa ni lazima ufuatilie historia yake ya nyuma kati yake na huyo aliyemzalisha.
Kwasababu wapo ambao wamezalishana wangali bado wako kwenye hatua za awali za mapambamo ya maisha na hii ndio unakuta imefanya iwe sababu ya jamaa kupotea kuingia street kuchanga karata zake kwanza huku moyoni mwake akiwa na hope kwamba akitoboa lazima arudi ayajenge na mama mtoto wake ili walee mtoto wao.
Sasa hawa hawajaachana na kiuhalisia ni kwamba wanapendana sana tu ila lipo jambo ambalo limewaweka mbalimbali na endapo utamuoa single maza wa namna hii kuwa na uhakika jamaa yake atakaporudi lazima atakukimbia tu.
Lakini pia wapo single mothers ambao waliamua kuachana na wazazi wenzao Kwasababu ya mambo ya ujana, unakuta kijana amemzalisha mdada wa watu ila ile sex craving kwake iko juu sana kwahiyo fumanizi za mara kwa mara haziishi na huyu mwanamke anaamua kuachana na kijana wa namna hii na kuendelea kulea mtoto wake, sasa endapo wewe utajitokeza na ukatangaza nia ya kumuoa anaweza kukukubalia ila unachotakiwa kufanya ni kumake sure unakua na tabia tofauti nazile za jamaa yake wa awali kiasi ambacho kitafanya asimkumbuke ila ikitokea na wewe ukawa wale wale au akawa na hisia tofauti na wewe huku yule baba mtoto wake akiwa anambembeleza kwamba ule ulikua utoto kwahiyo now nimeacha na kadhalika na kadhalika kaa ukijua utaachwa kwenye mataa huku ukiwa unashangaa shangaa.
Pia wako wanawake ambao ni single mother ila wameachwa Kwasababu ya tabia zao hazikufaa kwahiyo wameachwa ili wale jeuri yao, na unakuta baba wa hao watoto ni mtu anaejiweza kiuchumi na usikute anatamani sana apewe watoto wake akawalee mwenyewe ila mwanamke anawakumbatia watoto ili huduma imfikie na yeye, hapa mnaweza kuishi ila zile tabia alizoshindwa mwanaume mwenzio na wewe lazima zitakushinda siku moja ila kwenye upashaji wa kiporo inaweza isitokea kwa watu wa namna hii.
Pia wapo singo maza ambao waliwapenda sana waume zao ila wamefariki, sasa huyu ukioa mnaweza kuishi ila uwe mvumilivu kwa maana usipofika kwenye kile kiwango cha upendo ambao alikua anapewa na huyo aliyekua baba mtoto wake basi utakua unaiskia mifano mingi sana mzuri yakumuhusu.
Wapo wanawake ambao wameachwa kwa dharau na matusi na wale watu waliowazalisha na usikute walijitahidi sana kuvumilia ila ikafikia mahala wakashindwa wakaamua waachie ngazi, hawa ukiwapa ile thamani na upendo basi mtaishi vizuri tu ila ukiwa ndio wale wale mambo yatakua ni 50 50 na mwenye historia nae ndefu ndio anaewin siku zote.
Kwahiyo ni muhimu kufuatilia haya na ikiwezekana mtafute hata jamaa aliyeachia ngazi mkae myajenge kama kweli ameacha au ameweka akiba ya baadae na kama ameacha sababu ni nini na kwakua sisi wanaume hatunyimani taarifa hasa kwa wale wa moja moto moja baridi ni watu wasio na makando kando hasa mkiwa mmekaa maeneo mnakula vitu huku anakupa habari unazozitaka basi utatoka ukiwa unauhakika kabisa na uelewa wa kwamba unaenda Kuoa mwanamke wa aina gani (hii aliwahi kuifanya jamaa yangu mmoja ila aliifanya akiwa tayari ameshaoa na aliifanya baada ya kuona mwanamke haeleweki na alikua anajua kwamba yule mwanamke aliachana na jamaa aliyemzalisha coz of kipigo kwahiyo yeye akaoa ila baadae alinyoosha mikono juu na akakiri jamaa alikua sawa kabisa kumpiga huyu mwanamke).
Mapoja na mambo yote hayo yaani mabaya na mazuri lakini pia ni lazima tukumbuke kwamba...
Mapenzi huwa ni mjumuiko wa hisia na kumbukumbu mbalimbali kwahiyo wanawake wote ambao walizalishwa wakiwa ndoani au wakiwa waliwahi kuishi na watu waliowazalisha huwa wanakua na kumbukumbu tofauti tofauti za kimaisha ambazo waliwahi kuziishi na watu wao wa zamani, na katika hizo kumbukumbu huwa zipo zile za udhaifu kwahiyo hii huwa ni advantage kubwa kwa wanaume wengi wanapotaka kupasha viporo Kwasababu anamkumbushia tu zile moments nzuri na zenye kuibua hisia walizowahi kuwa nazo pamoja na hapo utaskia mkeo yaani "licha ya mambo yote hayo lakini ukanitelekeza"... hapo basi ni manyoya tu ndugu nice man.
Lastly ni kwamba unapooa single mother hakikisha unakua na nguvu ya kiuchumi kuliko mume mwenzio kwa maana pesa humuongezea mwanaume kujiamini ila akigundua wewe uko na nguvu kubwa ya kiuchumi kuliko yeye basi atapata hofu ya kuingia kwenye himaya yako kwa maana atajiona si chochote na hata huyo mwanamke atakuheshimu kinamna fulani na hata kama watafanya basi itakua ni kwasiri sana.
Mie sina mke ujue...kibamia changu kikwazo kupa nke.Mkeo anatombwa na nani?
Vibaya mno najua baada ya mimi kung'oa nanga mazima yaani ujue kuna movie zinaishaga huku watazamaji wakiamini kuwa kampuni husika italeta muendelezo hadi inapita miaka kumi ndio wanagundua kumbe wanatakiwa kukubali kuwa ule ndio mwisho.Mkuu, kwa maelezo haya Single mother wataendelea kuimbwa mno.
Single mother Oyee.Vibaya mno najua baada ya mimi kung'oa nanga mazima yaani ujue kuna movie zinaishaga huku watazamaji wakiamini kuwa kampuni husika italeta muendelezo hadi inapita miaka kumi ndio wanagundua kumbe wanatakiwa kukubali kuwa ule ndio mwisho.
Kuna dada mmoja yeye aliyashuhudia haya
Baadae nilivyomshirikisha akaniuliza kwa hiyo unataka nikusaidie arudi au nikusaidie nini?
Nikamwambia nisaidie nimove on na mimi.
Akaniuliza ila bado unampenda au humpendi nikamwambia nampenda vibaya mno lakini naogopa atasababisha nizeeke masikini na ni kitu sikitaki akaniambia basi kama ni hivyo unataka kumove on fanya hivi piga hatua zako kwa umakini sana maana sisi wanawake hatuwezi kumove on ikiwa tunawaona wale tuliowaacha wako karibu na tunaweza kuwafikia kwa wepesi yaani ili kuchana nae kabisa weka barrier ili asiweze kukufikia tena wala usikae na watoto wake maana mtoto wako anaweza kukuomba umrudishe mama yake na wew ukajikuta unamtimizia mwanao mapenzi yake
So chuku hatua zote kwa tahadhari alazimike kutafuta mwanaume mwingine kabisa tofauti na wewe ili awe anakufikiria lakini hawezi kukufikia hata ukija kuwatembelea watoto wako asiwe na access ya kukumiliki atambue kuwa ulishampoteza na yeye alishakupoteza mazima usimpake mafuta katika hilo kama kweli unahitaji kumoveon.
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta huyo wako inaonekana kidogo alikua na utindio wa ubongo sema haukumgundua mapema kwahiyo hiyo haiwezi kuondoa uhalisia kwamba wapo single mother ambao ukipatana nao mnaunda very nice couple.Kwanza mpaka unafikia hatua ya kuanza kuchunguza hadi historia ya wife-mate wako maanake unampaka rangi donkey ili ageuke zebra, inshort wewe unadhani tunaopinga hili suala ni kwamba tunafanya fasheni?
Sikiliza we jamaa nakuomba kwa majina yote Allah kwa Waislamu Mungu kwa wakristo na LUCIFER kwa Illuminati wote badilisha hiyo akili na namuomba hata MUNGU akuongoze
Mimi nimeishi nae na hakuwa na mawasiliano na mzazi mwenzake kwa miaka kumi but huyo mtoto ndio kaivunja hii ndoa iliyodumu miaka kibao yaani hajajali wale wawili niliozaa nae yeye kajali yule aliyekuja nae kwangu.
Back then nilikuwa nafungua nyuzi zinazoongelea masingo maza kimachale yaani nikawa naziogopa kama ukoma yaani ujue akili ya wanawake imejaa wenge na kujishitukia yaani wanawake wote wako hivyo hawajiamini kabisa ukitaka kuprove hilo kama una mamaako we mkazie macho machoni mwake utaona anavyobabaika unajikuta hata kakufokea we nae unanitumbulia mimacho shida nini? Huyo ni mama yako je mkeo ambae amehifadhi maovu mengi dhidi yako unadhani atajenga picha gani muda huo?
Je huyo singo maza? Hatutaki kujua huyo mto kaletwa duniani na atmosphere ipi ya mahusiano.
Yaani kitendo cha yeye kuexist between you two halafu sio wako.
Bro atakuletea changamoto tu ambazo huko mbeleni hata kama ni baada ya miaka kumi na tano kama mimi na itakuuma sana ukikumbuka kuwa ulimtreat ili ajisikie kuwa ni kama wako kumbe mama yake anatafuta loopholes za kumthibitishia kuwa yeye sio wako.
Unafanya nini ukishagundua umekosea kama mimi? Unalia kwanza ndani peke yako hata kwa wiki nzima then unanyanyuka unakubali kwanza kuwa ulikosea kuchagua mwenza kwanini unatakiwa ukubali kuwa ulikosea??
Ili uziepuke njia za aina hiyo hiyo ili ukimuangalia singo maza ukumbuke kuwa she was not made for you..
So unaendelea na maisha but usipokubali kosa lako ndio hivyo unaanza kuleta justifications ambazo utajikuta umerudi pale pale
Labda nikuambie simple uelewe kuwa sisi wakurya ndio wafalme wa kuoa single maza hapa Ulimwenguni but ukiona mimi mkurya nimekwambia kuwa achana na singo maza heshimu hicho kitu bro nakuomba tu usiwafariji waliokwisha kujitwisha hiyo mizigo waambieni uhalisia bila kupepesa "Kweli unacheza wewe" in ngwea's voice in huyo ni demu wangu
Acha nikae kimya ili asije akapitia humu akaniwahi kabla sijamaliza mission yanguSingle mother Oyee.
NAKAZIANi kweli mwanamke ni mwanamke ila single mama ni mwanamke asiyefaa kuwa mke
Ungemtag unaemuuliza ingetusaidia kuelewa mapema na ikatunyooshea hii conva.Mkuu uko wap usikute umeo mzazi mwenzangu
Sasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Roho mbaya tyuu.!!
Nyie wenyewe mmelelewa na baba sio wenu.. ila mmekua midomo mirefu km chuchunge 🤣🤣🤣
Umeongea ukweli mtupu na una uzoefu nao na unawajua kiundani zaidi. wengi wao wanataka uwalee watoto wao tu na hawataki kusikia habari ya kuzaa tena,Singe mother mwenye uchumi wake mzur na mtoto wake kwao siyo njaa huyo kidogo anaweza akakubali. kuzaa mapema kama utamuoa.Kuna maneno umeandika 🤔🤔 yamefanya nimkumbe Single Mama moja hivi niliwai kuwa nae.
Kiukweli unaweza kuona unapendwa kuhusu burudani ya viungo vya uzazi hana Choyo wala ubinafsi kabsa ni mwanamke mmoja ambae Kwa Jina la mapenzi pesa yake Pesa yako haogopi kutumia pesa yake kwako km weapo ukiwa hauna Kwa wkt huo Binafsi kuja Kwa nauli yake kuja kwako au kutembea umbali mrefu kuja kwako sio shida zake. Kiukweli Kwa kuwa Moyo hauna macho yote aliyokuwa anafanya dhidi yng niliona ni Upendo (Mpk Leo naamini ni miongoni mwa wanawake walionipenda) na hii sio kwake tu Currently nilipata tena single Maza oi hawa watu Wana Upendo special kabsa nae piah anaingia kwenye lists ya wanawake waliowai kunipenda mpk Mi mwenyewe kuhisi ni Upendo huo (Nimemuweka na huyu Kwa sababu ni Singles Maza na Character wanataka kufanana)
Shida yao ni Moja km sio Mbili na hii nahisi ni kwa Single Mothers wote? Uwenda ndy inaweza kuwa Sababu ya kuamini single Maza hatakiwi kuolewa na ndy kilichofanya nipende Comment yako Bro kuona unaongea Ukweli
Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake
Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena
a) SINGLE MOTHER wote Uwaga wanaamini thamani yao imeshuka kuzalia nyumbani.(Hivyo Njia nyepesi ya kurudisha Thamani yao ni Kuolewa Kwa Ndoa za Kidini) hivyo wanapoingia kwenye Mahusiano wanaweza kujitoa kiasi ambacho ni rahisi kuamini unapwendwa. Lkn Swali la kujiuliza AKISHAPATA HIYO NDOA NA HESHIMA ANAYOITAKA Je Upendo wake utabaki km alivyokuwa kwenye Mahusiano au ndy Atarudi kwenye FACTORY DEFAULT SETTINGS
b) Matamanio ya Kupata Mtoto yanatofautia yani ukiwa na Single Mothers ni km upo kwenye Demand & Supply Curve zina uhusiano hasi We unawaza kuwa Baba yeye Hana tena hamu ya kuwa Mama (Maana tayari ni Mama) na Wengi wao wanakuwa wanaogopa tena kuzalia nyumbani inawapelekea kuwa na Uzazi wa Mpango tena Kwa Njia ya Kijiti. Enzo Case Study 2 hapo Juu wote walikuwa na hiyo Issue moja alikuwa ndy katoka kutoa karibuni lkn anakuambia hataki kuzalia nyumbani kwao (Kasahau kuwa tayari kashazalia kwao) mwingine huyo ndy kabisa ana Kijiti cha Miaka 3 ndy anawaza kufikiria kupata Mimba so. Kuwa na hawa watu ni changamoto specially ukiwa na Matamanio ya kuitwa Baba watakuchelewesha au kukuingiza kwenye Ndoa ambayo utakuja kuijutia.
Lastly 😂 Kwa watu Ambao Uzazi wao upo mbali(Kuchelewa kupata Mtoto) ukioa single Maza utaoneka wewe ndy unashida kwenye Kizazi sio mwenzio kata hayo yote Mapema 😂 km ni koa single maza hakikisha na wewe umetafuta Vitoto hata Viwili ndy mje kuoa Aggregate ikiwa Ipo Sawa au unamzidi lkn sio Ucheke Second Legs wkt First Leg uijui imetoka Je.
Hahahah "hits harder like 50kg on the scrotum" made me roll down on laughters.It hits harder like a 50kg hammer on the scrotum. Let me sit there and cherish my freedom.
She has made a monster that other women wont handle..
She said, I have moved on so what is your say on this? I kept quiet coz I had her friends in the name of my babies. This time my mom beholding her grand children.
Soon my papa told me be a man take those children give them to her and move on silently, make money, get a life and enjoy whatsup kid?
After I gave her the kids she realized that she cant move on now she is questioning me what are they going to eat? And like..these kids need to be dad parented. I'm like what the f*cking hell??
Engineer your thoughts please!!!
Help me get peace my fellow men.