Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Nmeoa single mother kwasababu siioni tofauti, wasio na walio na watoto hawana tofauti kitabia, nmeona ndoa zikivunjika pasipo kujari background.

Mijadala hii inawahusu sana Gen Z wa bongo kwani hata upeo wao unajieleza
 
Sisapoti huu ujinga kamwe na sitofanya hivyo daima, nimeona kwa ndugu zangu wameishi maisha ya baraka tele pamoja na kuoa ama kuolewa wakiwa na watoto

Hivyo nina personal experience, acha wajinga waendekeze upuuzi mimi nitasema kimoja

Upendo wa kweli unategemea kwa mtu halisi na sio Status ya kuwa na mtoto ama la

Wangapi wamepata mtoto wa kwanza pamoja waliofata wote wakabambikwa???

Wangapi wameoa mtu hana mtoto kuja kushtuka baadae watoto wote sio wao???

Kanuni kuu ni kuwa mapenzi hayana formula, tumuombe Mungu atujalie wema wa kuendana nao na sio vinginevyo maana yote ni ubatili vikiwa havina baraka ya alie juu
 
Nmeoa single mother kwasababu siioni tofauti, wasio na walio na watoto hawana tofauti kitabia, nmeona ndoa zikivunjika pasipo kujari background.

Mijadala hii inawahusu sana Gen Z wa bongo kwani hata upeo wao unajieleza
Wewe endelea kujipa moyo

Ni suala la muda tu 😁

Tuanza hii comment
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Je sisi single babas unatushauri nini?
 
Wewe endelea kujipa moyo

Ni suala la muda tu 😁

Tuanza hii comment
Sikatai, kwani nmeeleza kila kitu
We tafta katoto toa bikra na ikiwezekana oa kabisa, mwisho wetu mim na wew hautabiriki

Me ntajipa moyo na kujisemea "nlijua yatakuja" wew kitanzi kitakuhusu kwani hutakua na maandalizi yoyote
 
Mwanamke ana zaa na mwanaume anayempenda haijalishi amebakwa au hajabakwa . Kama hakupendi atatoa mimba yako au atatolewa mimba

Kuoa single maza ni kuoa mwanamke anayempenda mwanaume mwezako mpaka akaamua kudhihirisha kwa kumzalia mtoto ili awe na bond nae. Huyo mtoto alie nae alichanuliwa mapaja, akakojolewa na mwanaume mwezako na kwa upendo wake akambebea miezi 9 na kumzalia.

Hivyo wewe unaekuja kuoa single maza kaa ukijua hapo haupendwi . Yupo kwaajili ya kukutumia na kukudhohofisha wewe ili kupata huduma yeye na huyo mtoto wake.

Alichokiunganisha Mungu hakuna wa kukitenganisha labda kifo tu na wakati mwingine kifo hakiwezi kua applicable.

Mtoto ni kiungo baina ya mwanamke na mwanaume. Single mama ni mke wa mtu acha kuanzisha familia ndani ya familia y mwanaume mwezako. Tafuta mwanamke wako piru anzisha nae familia
 
Hao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.

Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.

Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.

Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.

Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Endelea kuishi na huyo single maza ipo siku utakuja kujilaumu sana . Maamuzi ni yako usubiri majuto au uyakwepe majuto kabla hujaongeza miaka ya kuendelea kuishi na huyo mke wa mwanaume mwezako
 
Single maza anafaa pale tu unapokuwa na watoto na umeachana na mama yake..
Ndipo unachukua single maza ili mtumiane yaani wewe umkuzie watoto wake na yeye akulelee watoto wako
Over..
 
Endelea kuishi na huyo single maza ipo siku utakuja kujilaumu sana . Maamuzi ni yako usubiri majuto au uyakwepe majuto kabla hujaongeza miaka ya kuendelea kuishi na huyo mke wa mwanaume mwezako
Mkuu, huo ni mtazamo na imani yako.
Kuna waliooa bikra na wanachapiwa wengine hadi kuachana.

Kuna wanawake wameolewa kabla hawajawa single mothers na bado ndoa zao hazijadumu.

Ndoa hazina fomula. Asante mkuu kwa mtazamo wako
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.

Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.

Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

Kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Si bure wewe mwenyewe ulikuja na mama yako kwa unayemwita baba
 
Miaka mitatu ni ya kutembea kifua mbere kweri kwa ushahidi huu?

Ushawahi jiuliza ikiwa siku mumewe akirudi au akafahamu aliko, mustakabali wako wewe msamaria utakuwaje?
Ulibahatika mkuu ukipata kama huyo,mashallah wanakupea yoooote
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.

Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.

Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

Kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Mawazo ya kipumbavu hayo!
 
Maisha ya mwanadamu, tabia, matukio hayajawahi kuwa na formula kama Archmedes Principle, hayo mambo unayoongea hapo ni madharia na hisia zako au misimamo yako..
1.Kuna single mothers walioachwa, kimbiwa
2.Kuna wanawake walikutana na wanaume waoga wa maisha - wanazalisha, wanasepa..
3.Kuna wanawake tabia mbovu wameshindaka kuolewa
4.Kuna wengine kizazi kipo karibu kacheza kidogo.mimba hii hapa wakati hapakuwa na commitment.

Kumbuka hakuna mwanamke anajipa mimba, unapowasema hao wanawake as if ndo EVIL ujue kuna wanaume wamewalala na wanaendelea kuwalala .
Thus ukiongelea single mother ujue kuna uwezekano wa kuwa na mwanaume muharibifu na mhuni nyuma.
Sio kwamba single mothers ni evil na sio kwamba wanawake wote ambao sio single mothers ni watakatifu.
Tena utakuta ni kinyume chake..mwanamke aliyetiwa mimba akaachwa, hakutoa mimba, kalea kazaa..huyo kajitahidi..wengine wanalalwa kila siku - wanapata mimva wanatoa au wanatumia ma P2..then hao ndo mnakuja kujurana nao kwenye ndoa..mimba zinakataa...

Hivyi kila mtu awe huru, kama kuna s.m umemuelewa beba tu muanze maisha, kama wewe hupendi s.m tafuta wengine waliharibu vizazi kwa P2 au ambao wamejaaliwa kujitunza then anza. Lkn mwisho wa siku mkiingia kwenye ndoa mtangua YOTE ni ubatili tu...
Kupanga ni kuchagua lkn sio kila chaguo lako upangie wengine.
Mkuu umepiga mulemule! Hili takataka ukute limeoa mwanamke aliyechoropoa mimba mpaka basi!
 
Hao single mothers wanaopondwa kila uchao ni matokeo ya muunganiko kati yao na wanaume. Lkn kwa sababu zozote ziwazo mwanamke akaja kuwa single mother.

Kwamba kuna single mothers hawaiatulia haindoi ukweli kwamba kuna wanaojielewa na wametulia.

Nilioa single mother(mtoto mmoja) hadi leo tunaishi vizuri kabisa.

Baba wa mtoto haifahamiki aliko ni mwaka wa 9 huu toka mke wangu atelekezwe.

Sijawahi kujutia kuwa nae maishani. Niko nae kwa miaka mitatu sasa.
Jipige kifua utamke, " Ila nilikosea sana kuoa mke wa mtu!"
 
Mkuu, kukaa na mwanamke miaka mitatu sio mchezo.

Tulishakubaliana namna ya yeye kuwasiliana na baba mtoto endapo ataibuka kutoka aliko. Akikiuka makubaliano anaondoka kwangu. Sitaki stress.

Hadi sasa sijawahi kujutia mkuu.

Mungu azidi kuibariki ndoa yetu
Mwamba uko wapi nije nikutembelee tupige story za haya malezi! Mama wadogo wanataka kujichanganya kwangu nataka nije niwalipue. Maana wanajiona wao kama malaika wakati na wenyewe walienda kwa waume zao wakiwa na watoto! Sasa wanamwona my wife kama mtu wa hovyo na mimi wananiona mpuuzi eti kwa nini sikuoa kabinti! Wanafikri siri zao hatuzijui eti tulikuwa watoto! Nitawalipua hawatakaa wanisahau na kama ka undugu kanakufa wacha kafe mamanina zao! Nitawauliza walivyotutelekeza tulivyoondokewa na maza wetu tukiwa wadogo hiyo huruma sasa hivi wameitoa wapi?
 
Back
Top Bottom