Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Vijana punguzeni u serious na wanawake, mi nikimuelewa yoyote naweka gheto akizingua anasepa naweka chuma kingine.

Nipo bize nasaka mahela na kila kitu changu nimeweka jina la mama, Haliwi mtu hapa🤣

Anaishi naye wala haishi kwako so waache vijana wafurahie mapenzi
Acha wivu
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
mbona umeipiga vita sana hii 😄 mapenz hayana formula mkuu kila mtu na option zake
 
Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Usiwaze yote hayo mkuu. Kikubwa hangaika kuwalea watoto wako kadiri unavyojaliwa. Mungu akuponye moyo uliopondeka.
 
Akitokea na ukaribu na mama mtoto ukawepo, nawaacha waendelee na maisha yao. Uzuri ni kwamba hiki ninachokisema hapa huwa namkumbusha mara kadhaa. Kwa hiyo uamuzi ni wake
Mmefunga ndoa? Maana yake utampa taraka na kuondoka na haki zake? Vipi mtoto una vyeti vyenye majina yako?
 
Asanteni wadau wote ambao mmenikaribisha hapa kwa kuni-tag.

Kwa kipindi kirefu mahusiano ya kimapenzi yamekua ni utapeli kwa mwanaume, mbaya zaidi utapeli huu umehalalishwa na kufanywa ndio ustaarabu wa maisha hapa duniani.

Inasikitisha sana kuona mwanaume anaanza kupambana na maisha akiwa chini kwenye struggling phase huku wanawake alioingia nao kwenye age ya ujana wanamkwepa na kuchagua hoe and partying life style wakiwa sambamba na bad boyz na sugar dadz ambao washajipata

Halafu huyu mwanaume ambae bado ana-struggle na maisha akija kujipata badala ya yeye kula maisha akiwa hapo kwenye peak yake anaoa kahaba mstaafu ambae aliemfungia vioo akiwa kwenye strggling phase.

Ndio maana huwa nawaambia vijana, mwanamke ambae unaingia nae pamoja kwenye age ya ujana uyo sio mwanamke wa kiwango chako, uyo ni mwanamke wa kiwango cha wanaume wengine ambao wapo 30s na 40s. Kwa sababu kipindi ambacho mpo kwenye iyo age moja yeye thamani yake ni kubwa kuliko thamani yako.

Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali, kubali ukweli kwamba uyo mwanamke ambae ni age mate wako sio wa standard yako pambana kutengeneza thamani yako na pale utakapojipata kula maisha kwanza tembeza libolo ipasavyo mpaka ukifika wakati utakapoamua kuoa don't settle for less. Single mothers na makahaba wastaafu piga chini wote hao.

Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake.

Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena

Trust me, angekua amejipata na yupo katika peak yake ile siku ulivyomtongoza angekuambia hamuendani yaani hauna hadhi ya kudate na yeye.

Mtoto wa single mother hatokuja kuwa mtoto wako, kama unahitaji kuitwa baba adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima, lakini mtoto wa single mother sio mtoto wako.

Hakubakwa, mzazi mwenzie hajafa, kaa mbali hapo mzee mwenzangu. Kupasha kiporo na baba mtoto ni suala la right time na right place tu.

Baba, mama, kaka, dada na ndugu zako wamekaa kimya kuheshimu maamuzi yako lakini ukweli ni kwamba hawajafurahia maamuzi yako ya kuwa na single mother.

Kuoa single mother ni kuidhalilisha familia yako, marafiki zako na ukoo wako.
Somo nzuri alafu la bure,kama itakupendeza naomba ufungue shule ili kuleta vijana wetu waje kupata elimu ya kujitambua kutoka kwako.
 
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?

We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?

Mwanaume mwenzangu, take your time choosing your woman, usikurupuke, utapata tuu mwanamke unayemtaka.

Unaanzishaje maisha na mtu ambaye tayar yuko One step ahead of you.

Kuna raha yake wote wawili mwanamke na mwanaume mkikaribisha mtoto wenu wa kwanza duniani.

Hata kama unampenda, achana nae utapata tu unayemtaka, najua inauma ila nakuhakikishia kuna siku utaamka hayo maumivu hayatokuwepo tena.
Mwingine utamsikia anasema "Huyu ni soulmate wangu", nakwambiaje hakuna kitu kama "Soulmate" hapa duniani, (yaan kwamba kuna mtu amezaliwa kwa ajili yako tuu na wewe umezaliwa kwa ajili yake tuu) hayo mapokeo ya "Soulmates" yameanzishwa na wagiriki zamani huko hayana ukweli wowote, ni kama tuu wanawake wanavodanganyana "ooh sijui mm ni Sagittarius au Virgo" yaan haiwezekani mpangilio wa nyota huko angani wakati unazaliwa ika-determine personality yako, hio kitu haipo na hata huyo unayemwita "Soulmate" mnalishana uongo tuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume, wenye kasoro na tofauti nyingi tuu sio lazima waendane kila kitu, ila katika kuishi mnajikuta hizo kasoro zina neutralise.
Ewe mwanaume usiendekeze huo ujinga wa "soulmate" utakugharimu.

Unaponunua gari used, unalipia matatizo yalisababishwa na mwanaume mwingine. (I'm not talking about cars)

kama mwanaume una kila sababu ya kuanzisha familia na mtu ambaye hana watoto, kwann unaenda kuoa single mother?

Don't marry single mothers,
They don't need Love,
They need help.​
Wewe utakuwa nikaka yangu wadamu ,wewe ndie nilikuletea hili suala nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom