Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Kweli mimi nina wapenzi watatu wawili single mother sasa hao single mother wana nifosi niwaoe Mimi roho yangu inakataa maana nitaonekana mjinga yani kijana wa kisasa nioe Mwanamke aliyezalishwa yani ata Baba yangu na Babu zangu walioa Mabinti, Babu yangu alioa wake watatu wote walikua Mabinti na Baba yangu alioa wake wawili wote walikua mabinti kwahiyo sisi watoto wote Baba yetu Mmoja na ukoo mmoja na ata kwenye urithi hakuna shida tofauti na Baba yetu angeo Mama zetu wakiwa na mitoto ya nje ya ndoa ingeleta shida.
 
Sote tunajua hadi mtu anakuwa single mother kuna miiko,viunzi,mageti,na masharti kadhaa amekwisha yavunja ndipo akafika hiyo stage ya kuitwa tatizo
Mkuu, umefikiria waliobakwa?
Wanaume ndio chachu ya mabadiliko,ila kuwa na wanaume teketeke wasio jua kesho ya jamii yao ni hatari zaidi kuliko hawa single mother wenyewe
Naamini unajua single mothers wamezaa na wanaume. Je, waliowakimbia hao single mothers ni bora kuliko wanaoamua kuwaoa?
Ni vema muda mwingine kukaa kimya kama haujui unachoongea kinakwenda kuleta madhara yapi kwenye jamii
Hili la kukaa kimya nafhani hata wewe linakuhusu.
Mkuu, kunywa maji upunguze jazba. Kisha jipige kifuani mara 3 jiambie Mimi kidume.

Nahisi ulipigwa na kitu kizito kichwani.
 
Lakini mkuu matatizo huwa yanakuja kwa levels. Usianze kujipongeza mapema bado muda ni mfupi huo. Kuna time kijana atakuwa atatka kwa mfano kumcheki dingi yake, atataka kufanya harusi formal na inayoenda kwa ustaarabu wa siku hizi, mkeo atatakiwa au ataombwa akakae meza moja na jamaa.

Jamaa linaweza kupata mijihela kibao, likarudi likataka limuoe.... Muombe Mungu sana.
 
Najua bado ni mapema sana na sio kwamba najipingeza. Nasema kile kinachoendelea.

Kuhusu jamaa kurudiana na mke wangu ni % ndogo sana kwani kuachana kwao kuliambatanq na mambo mengi.

Hata hivyo nilishamweka wazi kuwa jamaa akitokea na akaamua kumrudia aweke wazi, nitakubali matokea ingawa ni ngumu. Nimeingia nimeshajiandaa kisaikolojia kwa hilo ingawa najipa moyo kuwa mwamba ameshapotea mazima
 
Waliooa Single mother hujifariji kwa maneno hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…