Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Waarabu ni ndugu zetu wameoa waafrica ila Hawa kenge za kihindi ndo mabaguzi
 
Morocco ? Wale waarabu walioukana u Africa kwenye world cup ?
 

Kijana usilo lijua ni kuwa kuna Uarabu kwa Kuongea kiarabu.
 
Waarab walikuwa wanawaua kama mchezo na wengi wao walikatwa mboo pamoja na pumbu ili wasiende kuzaana kule. Halafu anakuja msenge hapa asiyejitambua na kusema eti Waarab ni ndugu zetu.
 
Kijana usilo lijua ni kuwa kuna Uarabu kwa Kuongea kiarabu.
Uarabu ni utamaduni na sehemu ya huo utamaduni ni kuongea kiarabu.

Waarabu, wayahudi na Waithiopia ni wasemetiki. hivyo kuwa kuwa myaudi kisa unaongea lugha yao, huyo ni Muethiopia na Mwafrika period.

Hivyo hizi ni jamii tofauti kabisa, huyu mtu ana uraia wa Saud Arabia ila sio Mwarabu.
 
Hakika
 
M
Mkuu kumradhi, wakenya sio SI unit ya akili ya mtanzania. Kutofautiana mawazo ktk mada ipo hata katika jopo la ma-elites. Kwamba tungechangia kama utakavyo wew ndo tungekuwa na akili?.
 
They were castrated ili wasizae na Waarabu hivyo walikuwa wakifika huko wanafanya kazi za kutumwa then wanazeeka na kufa, just like that. Wale wa North America walizaliana na baadhi walizaa na Wazungu(Caucasians).
 
M

Mkuu kumradhi, wakenya sio SI unit ya akili ya mtanzania. Kutofautiana mawazo ktk mada ipo hata katika jopo la ma-elites. Kwamba tungechangia kama utakavyo wew ndo tungekuwa na akili?.
Mngechangia kama ukweli unavyotaka. Hivi zama hizi unawezaje kuamini kuwa hakuna zao la watu weusi Uarabuni wakati ipo wazi tu Saudi kuna blacks/ warabu wengi wengi sana. Nimetolea mfano wakenya kwa sababu wanaamini tuna elimu ndogo na hatuna exposure, uthibisho ni comment za kijinga za humu.
Ukubali ukatae watanzania kuna vitu vya kijinga sana tunaviamini na kuvifanya kuwa fact. Mojawapo ni hili tunalolijadili.
Argentina wali exterminate watu weusi ila tunaaminishana humu eti warabu ndio waliopoteza watu weusi kwao, kama sio ujinga nini ?
 
Mkuu,

Iran si Uarabuni lakini. WaIran si Waarabu.
Mkuu naelewa sana kua wairan sio waarabu hapo nilikua nakazia tu kua sio kwamba watu weusi upande ule hawapo, wapo wengi tu ndio nikachomekea hilo jimbo lililopo Iran. Wairan sio waarabu kuna ma pashtun kule ambao wapo pia Pakistan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…