Mkuu hawa jamaaa wanaotoa maoni hasi ni wajinga sana sana. Hivi hizi ni zama za kuamini propaganda ! Yaani mtu anashindwa kufuatilia ukweli na kuamini vitabu vya drs la 4 na 5.
Internet imejaa taarifa kedekede vipi mtu ae delee kuwa mjinga na kuamini taarifa ya chanso kimoja cha habari .
Siwapendi warabu ila
Kuamini ujinga kwangu kamwe.
Warabu ndio watu weupe ambao wengi wao wamechanganya damu na watu weusi, ina maana watu hawaoni hata pale morroco, Libya, Saudia.
Je kule India hakuna watu wanaitwa Sidis ambao ni zao la utumwa. Pakistan, Uturuki kote huko mbona kuna ex slave wengi tu.
Kwa nini watu wana amini ujinga ? Watu jielimisheni aisee. Mnatia aibu, ndio maana wakenya wanasema watanzania hawana elimu huenda ikawa kweli.
You tube kuna documentary nyingi za watu weusi wa ara Asia.
Bora umethibitisha kuwa umewaona kwa macho huenda wakaacha kuamini ujinga.