Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Ndio kinachowatesa wahindi na Boers. Boers walitaka wabaki pure kama walivyotoka ulaya. Wahindi nao walikuja kwa sera ya kuchuma pesa bila kuingiliana kiutamaduni na waafrika. Kama ulivyoandika mwarabu yeye alifika akawa sehemu ya mwafrika. Mpka kesho kumtenga mwarabu na mwafrika haiwezekani. Mwarabu kawa kabila la waafrika. Mwarabu hapa Tanzania ni sehemu ya mswahili.
Japokuwa wapo warabu walioendelea kujitenga na watu weusii.
Ukitaka kumrudisha mwarabu Asia ina maana kama nusu ya waafrika waende Asia. Mfano Sudan kask. Libya nk.
Sijajua mtazamo wa wengi wanawahesabu warabu waafrika kama walowezi au waafrika .
Je AU na viongozi wa Afrika huwa wanalionaje jambo hili.
Mimi huwa naona very comicated issue. MLOWEZI MWARABU KAJIWEKA MPAKA VIJIJINI KWETU HUKO NA WAAFRIKA WANAISHI NAE WALA HAWAMTILII SHAKA.
Waarabu ni ndugu zetu wameoa waafrica ila Hawa kenge za kihindi ndo mabaguzi
 
Mkuu hawa jamaaa wanaotoa maoni hasi ni wajinga sana sana. Hivi hizi ni zama za kuamini propaganda ! Yaani mtu anashindwa kufuatilia ukweli na kuamini vitabu vya drs la 4 na 5.
Internet imejaa taarifa kedekede vipi mtu ae delee kuwa mjinga na kuamini taarifa ya chanso kimoja cha habari .
Siwapendi warabu ila
Kuamini ujinga kwangu kamwe.
Warabu ndio watu weupe ambao wengi wao wamechanganya damu na watu weusi, ina maana watu hawaoni hata pale morroco, Libya, Saudia.
Je kule India hakuna watu wanaitwa Sidis ambao ni zao la utumwa. Pakistan, Uturuki kote huko mbona kuna ex slave wengi tu.
Kwa nini watu wana amini ujinga ? Watu jielimisheni aisee. Mnatia aibu, ndio maana wakenya wanasema watanzania hawana elimu huenda ikawa kweli.
You tube kuna documentary nyingi za watu weusi wa ara Asia.
Bora umethibitisha kuwa umewaona kwa macho huenda wakaacha kuamini ujinga.
Morocco ? Wale waarabu walioukana u Africa kwenye world cup ?
 
Al Amoud ni Muethiopia, mzaliwa Ethiopia, kasoma Ethiopia na Mhamara kwa asili.
Huyu mtu ni muafrika halisi ila kapata uraia wa Saudia by Tajinisi.
Sio zao la watumwa na Wala hakuna mtumwa katika vizazi vyake vya nyuma.
Huo uarabu mnaomfungamanisha kautolea wapi?

Kijana usilo lijua ni kuwa kuna Uarabu kwa Kuongea kiarabu.
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Waarab walikuwa wanawaua kama mchezo na wengi wao walikatwa mboo pamoja na pumbu ili wasiende kuzaana kule. Halafu anakuja msenge hapa asiyejitambua na kusema eti Waarab ni ndugu zetu.
 
Kijana usilo lijua ni kuwa kuna Uarabu kwa Kuongea kiarabu.
Uarabu ni utamaduni na sehemu ya huo utamaduni ni kuongea kiarabu.

Waarabu, wayahudi na Waithiopia ni wasemetiki. hivyo kuwa kuwa myaudi kisa unaongea lugha yao, huyo ni Muethiopia na Mwafrika period.

Hivyo hizi ni jamii tofauti kabisa, huyu mtu ana uraia wa Saud Arabia ila sio Mwarabu.
 
Hakika
 
M
Mkuu hawa jamaaa wanaotoa maoni hasi ni wajinga sana sana. Hivi hizi ni zama za kuamini propaganda ! Yaani mtu anashindwa kufuatilia ukweli na kuamini vitabu vya drs la 4 na 5.
Internet imejaa taarifa kedekede vipi mtu ae delee kuwa mjinga na kuamini taarifa ya chanso kimoja cha habari .
Siwapendi warabu ila
Kuamini ujinga kwangu kamwe.
Warabu ndio watu weupe ambao wengi wao wamechanganya damu na watu weusi, ina maana watu hawaoni hata pale morroco, Libya, Saudia.
Je kule India hakuna watu wanaitwa Sidis ambao ni zao la utumwa. Pakistan, Uturuki kote huko mbona kuna ex slave wengi tu.
Kwa nini watu wana amini ujinga ? Watu jielimisheni aisee. Mnatia aibu, ndio maana wakenya wanasema watanzania hawana elimu huenda ikawa kweli.
You tube kuna documentary nyingi za watu weusi wa ara Asia.
Bora umethibitisha kuwa umewaona kwa macho huenda wakaacha kuamini ujinga.
Mkuu kumradhi, wakenya sio SI unit ya akili ya mtanzania. Kutofautiana mawazo ktk mada ipo hata katika jopo la ma-elites. Kwamba tungechangia kama utakavyo wew ndo tungekuwa na akili?.
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
They were castrated ili wasizae na Waarabu hivyo walikuwa wakifika huko wanafanya kazi za kutumwa then wanazeeka na kufa, just like that. Wale wa North America walizaliana na baadhi walizaa na Wazungu(Caucasians).
 
M

Mkuu kumradhi, wakenya sio SI unit ya akili ya mtanzania. Kutofautiana mawazo ktk mada ipo hata katika jopo la ma-elites. Kwamba tungechangia kama utakavyo wew ndo tungekuwa na akili?.
Mngechangia kama ukweli unavyotaka. Hivi zama hizi unawezaje kuamini kuwa hakuna zao la watu weusi Uarabuni wakati ipo wazi tu Saudi kuna blacks/ warabu wengi wengi sana. Nimetolea mfano wakenya kwa sababu wanaamini tuna elimu ndogo na hatuna exposure, uthibisho ni comment za kijinga za humu.
Ukubali ukatae watanzania kuna vitu vya kijinga sana tunaviamini na kuvifanya kuwa fact. Mojawapo ni hili tunalolijadili.
Argentina wali exterminate watu weusi ila tunaaminishana humu eti warabu ndio waliopoteza watu weusi kwao, kama sio ujinga nini ?
 
Mkuu,

Iran si Uarabuni lakini. WaIran si Waarabu.
Mkuu naelewa sana kua wairan sio waarabu hapo nilikua nakazia tu kua sio kwamba watu weusi upande ule hawapo, wapo wengi tu ndio nikachomekea hilo jimbo lililopo Iran. Wairan sio waarabu kuna ma pashtun kule ambao wapo pia Pakistan.
 
Back
Top Bottom