Hivi kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), kinawatetea tu wanawake

Kituo kinatembea na upepo wa cheap cheap (non productive) points.

Vitu vya msingi vunavyogysa maslahi ya jamii na mchi kwa ujumla hutamaa uwaone
 
Hizo taasisi zinaangalia wale wanaokuwa victimized na sio wanaowa victimize wenzao
Mama Samia bila aibu wala soni aliwadhalilisha wanawake wenzake hiyo taasisi ilipiga kimya leo kwa makonda wanapiga kelele.

Waache double standard
 
Mama samia aliwadhalilisha wapi huko
 
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume.

Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar.

Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho alivyomdhalilisha mmewe,
Hatukuwaona wakiwaonya Pauline Gekul alivyomdhalilisha kijana Kwa kumwekea chupa kijana sehemu ya haja kubwa.
Hawawakemei wanawake wanatoa faragha za waume zao hadharani na Huwa wanapongeza.
Au mwanaume hana mtetezi ikitokea mwanaume amedhalilishwa akachukua sheria mkonono mtaanza maneno.
Binafsi sioni kosa la makonda, yule mama alikosea mno watu wanahojo vitu vya msingi yeye analegeza sauti akihojiwa eti kadhalilishwa, kadhalilishwa vip kwani kavuliwa nguo, kachwapwa viboko, alibakwa au udhalilishaji Gani ulifanywa,
Yani kumsihi mtu aongeze sauti ndo kumdhalilisha
Ukishazaliwa mwanaume, ujue mtetezi wako ni wewe mwenyewe. Mfano wale wanaokataa ndoa, wanajitetea, maana washajua kilichomo ndani.., yaani sheria inambeba mwanamke mwanzo mwisho.., halafu mizigo yote anabeneshwa mwanaume…, jiteteeni wenyewe
 
Hao wanawake wanaotetewa ndiyo hao wanaojibinua na kutingisha makalio na kukaa uchi Tiktok,insta,fb?
 
Tukijipambania yakatokea ya Goba ndo utaona mwanaume amepambana.
Hiko kituo kinahisika na binadamu wote, kwani binadamu ni wanawake tu.
Pauline Gekul alivyomdhalilisha kijana Kwa kumwekea chupa sehemu ya haja kubwa mbona hakukemewa.
Christina Shusho aliyemdhalilisha mme wake kwenye vyombo habari mbona hakukemewa. Au ulitaka mme wake amkate mapanga ndo ujue mwanaume ni simba
Mie ningekuwa huyo kijana hata kama huyo Pauline ananizidi hela ningetulua tu nikimtafutia angle,lazima ningelipiza.
 
Mwanume ukipata na jambo lolote,tafuta njia ya ku solve hata kama utafanya kama Masanja haki utaipata mbinguni.
 
Ndo kwenye pesa. Azisha Ng'o ya kutetea wanawake utanielewa.
 
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume.

Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar.

Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho alivyomdhalilisha mmewe,
Hatukuwaona wakiwaonya Pauline Gekul alivyomdhalilisha kijana Kwa kumwekea chupa kijana sehemu ya haja kubwa.
Hawawakemei wanawake wanatoa faragha za waume zao hadharani na Huwa wanapongeza.
Au mwanaume hana mtetezi ikitokea mwanaume amedhalilishwa akachukua sheria mkonono mtaanza maneno.
Binafsi sioni kosa la makonda, yule mama alikosea mno watu wanahojo vitu vya msingi yeye analegeza sauti akihojiwa eti kadhalilishwa, kadhalilishwa vip kwani kavuliwa nguo, kachwapwa viboko, alibakwa au udhalilishaji Gani ulifanywa,
Yani kumsihi mtu aongeze sauti ndo kumdhalilisha
CCM NI MAVII ...KUNA MBUNGE MWANAMKE KAMUINGIZIA CHUPA MWANAUME SEHEMU ZA SIRI ..KILA KITU KIPO WAZI KESI IMEFUNGWA KIMTINDO ILA UTASHANGAA KUHUSU HOJA ZAO WAPUMBAVU WA CHADEMA NA MAFISADI YA CCM KUHUSU MAKONDA ETI KAMDHALILISHA MWANAMKE VERY NO SENSE
 
Ukishazaliwa mwanaume, ujue mtetezi wako ni wewe mwenyewe. Mfano wale wanaokataa ndoa, wanajitetea, maana washajua kilichomo ndani.., yaani sheria inambeba mwanamke mwanzo mwisho.., halafu mizigo yote anabeneshwa mwanaume…, jiteteeni wenyewe
Kabisa mkuu
 
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume.

Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar.

Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho alivyomdhalilisha mmewe,
Hatukuwaona wakiwaonya Pauline Gekul alivyomdhalilisha kijana Kwa kumwekea chupa kijana sehemu ya haja kubwa.
Hawawakemei wanawake wanatoa faragha za waume zao hadharani na Huwa wanapongeza.
Au mwanaume hana mtetezi ikitokea mwanaume amedhalilishwa akachukua sheria mkonono mtaanza maneno.
Binafsi sioni kosa la makonda, yule mama alikosea mno watu wanahojo vitu vya msingi yeye analegeza sauti akihojiwa eti kadhalilishwa, kadhalilishwa vip kwani kavuliwa nguo, kachwapwa viboko, alibakwa au udhalilishaji Gani ulifanywa,
Yani kumsihi mtu aongeze sauti ndo kumdhalilisha
Sasa unalalamika nini, Kwani wewe ni MWANAUME?
 
Basi ifike mahala wanaume mseme tu kwamba na ninyi siku hizi ni viumbe dhaifu kama wanawake ili jamii ijue moja, maana kwa miaka mingi mmekuwa mkijitutumua kwamba oo mwanaume ni mwanaume tu hatakiwi kulinganishwa na mwanamke, oo hakuna mwanamke anayeweza kumpiga mwanaume oo hakuna mwanamke anayeweza kumbaka mwanaume sijui mwanaume ni simba mwanamke ni swala sijui nini na kauli nyingine kama hizo

Siku zote mlitengeneza ile mentality ya kwamba mwanamke hawezi kushindana na mwanaume na akashinda kwahiyo hata kama mwanaume ndio ana makosa basi mwanamke asijaribu kulipa kisasi kwa namna yoyote ile, kwa sababu ni yeye ndiye atakayeumia na ndiye atakayeshindwa hivyo siku zote ataishia kuwa victim kwahiyo atulie na avumilie tu, kwa sababu naturally wanaume ni viumbe waliopendelewa akili, nguvu, uwezo na mamlaka juu ya wanawake na mkadai kwamba mtoto wa kike ndiye anayetakiwa kuangaliwa kwa umakini zaidi kwenye malezi ila wa kiume hana shida yeye hata akipewa uhuru jamii haiwezi kuharibika

Sasa jamii baada ya kuona hivyo na kuamua kuanza kuwasikiliza na kuwasaidia wanawake ambao wamekuwa victims kwa muda mrefu mnaibuka tena na kuanza kusema wanaume wamesahaulika, sasa mmesahaulika kivipi wakati siku zote mmekuwa mkiiaminisha jamii kwamba mtoto wa kiume ni strong hahitaji kupambaniwa bali anajipambania mwenyewe kwahiyo mnapoanza kulialia hivi mnatupa mashaka na uanaume wenu, siku zote wanaohitaji kuangaliwa na kupambaniwa ni viumbe dhaifu tu sasa imekuwaje tena au ndio umefika mwisho wa hizo propaganda tulizokuwa tunaaminishwa na sasa ndio ukweli halisi unafichuka na mbivu na mbichi zinaanza kujulikana
[emoji1621]So wanaume wakihoji utendaji wa taasisi inapofanya majukumu yake nusu nusu maana yake wamekuwa dhaifu, unataka wanaume wajichukulie sheria mikononi au tukueleweje? Kuhoji ni namna ya kuiwajibisha taasisi ambayo imepewa jukumu la kuwa mwangalizi, kiranja na mzungumzaji kwa niaba ya wote sio jinsia moja, kila mtu akiamua kujitafutia haki kivyake then kuna makundi yataonewa especially wazee,watoto na wanawake.

[emoji1621]Ukisema tulitengeneza ni lazima uwe specific nani, lini na kwa madhumuni gani, kimsingi usipotoshe. Always unapenda kureference from the place you have never been but you assume you were born in, wewe vitu unavyovisemea vimekukuta au kutokea katika nyakati zipi au ndio ile ukitazama kazi za sanaa na maigizo ndio unashika kuwa ndio reality yako? Young lady, pay attention how you make your arguments. You are so obsessed na past events ambazo am sure miaka unazaliwa possibly zilikuwa zimeshaisha na kutokomezwa kwa sehemu kubwa. You definitely speak from a point of "hear say" acha hizo mbaga.
Haya maneno unaongea hapa ni lini wanaume walikaa kikao cha hadhara wakayatamka hadharani na wewe ukayasikia kwamba walikubaliana hivyo? [emoji848]

[emoji1621]By jamii who are you referring to by majority? Usije sema ni jamii kumbe ni kikundi cha wanaharakati wanawake siku ya wanawake duniani au siku ya mwanamke wa shoka ndio walikaa na kujadili maswala ya jamii na kuwazungumzia wanaume kwa niaba hatimae wakaja na conclusion za hovyo kama hizi unazoongelea hapa. You sound more like a man hater and una unresolved trauma and confusions towards Men.

Unakumbuka hii kitu kuna uzi tumekutana nimekwambia kuwa huwa ukiona ajenda ya wanaume kuhoji changamoto fulani you always join the conversation kwa kubash wanaume , kuwadegrade, kuwa attack halafu mtu akiku confront unajifanya kuwa wewe ni neutral na unasimamia usawa.
 
Back
Top Bottom