[emoji1621]So wanaume wakihoji utendaji wa taasisi inapofanya majukumu yake nusu nusu maana yake wamekuwa dhaifu, unataka wanaume wajichukulie sheria mikononi au tukueleweje? Kuhoji ni namna ya kuiwajibisha taasisi ambayo imepewa jukumu la kuwa mwangalizi, kiranja na mzungumzaji kwa niaba ya wote sio jinsia moja, kila mtu akiamua kujitafutia haki kivyake then kuna makundi yataonewa especially wazee,watoto na wanawake.
[emoji1621]Ukisema tulitengeneza ni lazima uwe specific nani, lini na kwa madhumuni gani, kimsingi usipotoshe. Always unapenda kureference from the place you have never been but you assume you were born in, wewe vitu unavyovisemea vimekukuta au kutokea katika nyakati zipi au ndio ile ukitazama kazi za sanaa na maigizo ndio unashika kuwa ndio reality yako? Young lady, pay attention how you make your arguments. You are so obsessed na past events ambazo am sure miaka unazaliwa possibly zilikuwa zimeshaisha na kutokomezwa kwa sehemu kubwa. You definitely speak from a point of "hear say" acha hizo mbaga.
Haya maneno unaongea hapa ni lini wanaume walikaa kikao cha hadhara wakayatamka hadharani na wewe ukayasikia kwamba walikubaliana hivyo? [emoji848]
[emoji1621]By jamii who are you referring to by majority? Usije sema ni jamii kumbe ni kikundi cha wanaharakati wanawake siku ya wanawake duniani au siku ya mwanamke wa shoka ndio walikaa na kujadili maswala ya jamii na kuwazungumzia wanaume kwa niaba hatimae wakaja na conclusion za hovyo kama hizi unazoongelea hapa. You sound more like a man hater and una unresolved trauma and confusions towards Men.
Unakumbuka hii kitu kuna uzi tumekutana nimekwambia kuwa huwa ukiona ajenda ya wanaume kuhoji changamoto fulani you always join the conversation kwa kubash wanaume , kuwadegrade, kuwa attack halafu mtu akiku confront unajifanya kuwa wewe ni neutral na unasimamia usawa.