Hivi kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), kinawatetea tu wanawake

Kituo kinatembea na upepo wa cheap cheap (non productive) points.

Vitu vya msingi vunavyogysa maslahi ya jamii na mchi kwa ujumla hutamaa uwaone
 
Hizo taasisi zinaangalia wale wanaokuwa victimized na sio wanaowa victimize wenzao
Mama Samia bila aibu wala soni aliwadhalilisha wanawake wenzake hiyo taasisi ilipiga kimya leo kwa makonda wanapiga kelele.

Waache double standard
 
Mama Samia bila aibu wala soni aliwadhalilisha wanawake wenzake hiyo taasisi ilipiga kimya leo kwa makonda wanapiga kelele.

Waache double standard
Mama samia aliwadhalilisha wapi huko
 
Mbona wanakiita kituo cha sheria na haki za binadamu, kwani binadamu ni wanawake tu
Binadamu kaweka hapo kama mwavuli ila lengo ndio linaonekana kama hivi sasa.
 
Ukishazaliwa mwanaume, ujue mtetezi wako ni wewe mwenyewe. Mfano wale wanaokataa ndoa, wanajitetea, maana washajua kilichomo ndani.., yaani sheria inambeba mwanamke mwanzo mwisho.., halafu mizigo yote anabeneshwa mwanaume…, jiteteeni wenyewe
 
Hao wanawake wanaotetewa ndiyo hao wanaojibinua na kutingisha makalio na kukaa uchi Tiktok,insta,fb?
 
Mie ningekuwa huyo kijana hata kama huyo Pauline ananizidi hela ningetulua tu nikimtafutia angle,lazima ningelipiza.
 
Mwanume ukipata na jambo lolote,tafuta njia ya ku solve hata kama utafanya kama Masanja haki utaipata mbinguni.
 
Ndo kwenye pesa. Azisha Ng'o ya kutetea wanawake utanielewa.
 
CCM NI MAVII ...KUNA MBUNGE MWANAMKE KAMUINGIZIA CHUPA MWANAUME SEHEMU ZA SIRI ..KILA KITU KIPO WAZI KESI IMEFUNGWA KIMTINDO ILA UTASHANGAA KUHUSU HOJA ZAO WAPUMBAVU WA CHADEMA NA MAFISADI YA CCM KUHUSU MAKONDA ETI KAMDHALILISHA MWANAMKE VERY NO SENSE
 
Ukishazaliwa mwanaume, ujue mtetezi wako ni wewe mwenyewe. Mfano wale wanaokataa ndoa, wanajitetea, maana washajua kilichomo ndani.., yaani sheria inambeba mwanamke mwanzo mwisho.., halafu mizigo yote anabeneshwa mwanaume…, jiteteeni wenyewe
Kabisa mkuu
 
Sasa unalalamika nini, Kwani wewe ni MWANAUME?
 
[emoji1621]So wanaume wakihoji utendaji wa taasisi inapofanya majukumu yake nusu nusu maana yake wamekuwa dhaifu, unataka wanaume wajichukulie sheria mikononi au tukueleweje? Kuhoji ni namna ya kuiwajibisha taasisi ambayo imepewa jukumu la kuwa mwangalizi, kiranja na mzungumzaji kwa niaba ya wote sio jinsia moja, kila mtu akiamua kujitafutia haki kivyake then kuna makundi yataonewa especially wazee,watoto na wanawake.

[emoji1621]Ukisema tulitengeneza ni lazima uwe specific nani, lini na kwa madhumuni gani, kimsingi usipotoshe. Always unapenda kureference from the place you have never been but you assume you were born in, wewe vitu unavyovisemea vimekukuta au kutokea katika nyakati zipi au ndio ile ukitazama kazi za sanaa na maigizo ndio unashika kuwa ndio reality yako? Young lady, pay attention how you make your arguments. You are so obsessed na past events ambazo am sure miaka unazaliwa possibly zilikuwa zimeshaisha na kutokomezwa kwa sehemu kubwa. You definitely speak from a point of "hear say" acha hizo mbaga.
Haya maneno unaongea hapa ni lini wanaume walikaa kikao cha hadhara wakayatamka hadharani na wewe ukayasikia kwamba walikubaliana hivyo? [emoji848]

[emoji1621]By jamii who are you referring to by majority? Usije sema ni jamii kumbe ni kikundi cha wanaharakati wanawake siku ya wanawake duniani au siku ya mwanamke wa shoka ndio walikaa na kujadili maswala ya jamii na kuwazungumzia wanaume kwa niaba hatimae wakaja na conclusion za hovyo kama hizi unazoongelea hapa. You sound more like a man hater and una unresolved trauma and confusions towards Men.

Unakumbuka hii kitu kuna uzi tumekutana nimekwambia kuwa huwa ukiona ajenda ya wanaume kuhoji changamoto fulani you always join the conversation kwa kubash wanaume , kuwadegrade, kuwa attack halafu mtu akiku confront unajifanya kuwa wewe ni neutral na unasimamia usawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…