Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
"Nimefika mlandizi nakula Ugali""useless lyrics " hazina maana , no consciousness at all , ndomana madogo wasingeli wanawakimbiza
Ubunifu
OyaaaBongo jua la utosi hadi Juma anakosa Nature
"Wanangu wenye vibamia kapikeni milenda"Tff hili dirisha wamepania mpaka wameweka mapazia π
Crap"useless lyrics " hazina maana , no consciousness at all , ndomana madogo wasingeli wanawakimbiza
Nakubali sana nyimbo yake ya champion na dunga mawe."Mwenzenu mi napenda mpira kwasababu nimetokana na bao"
π€£π€£π€£π
Nakubali sana nyimbo yake ya champion na dunga mawe.
Mara bahati, bahati zote alipewa Bukuku ππKwanye hiyo ngoma ya champion kuna sehemu anakwambia
"Tumeishi na watu wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku"
"Mtaani kwetu mtu aliotoboa sana alitoboa sikio"Ni ujinga mtupu.
"Hamshindi ata mvae nguo za kushindia"Ana sema ukiwa jela uki request haiji bot, Leo kashika spana ana mkaza u sain bolt