Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

"Unaweza kuwa shabiki wa Simba na ukaishi Mwembeyanga"

BTW: Lyrics za aina hii zimekuwa nyingi sana.
 
“Wamevaa Kanga Kwenye harusi ya maulid kitenge”
—
Kontawa
😅😅😅
​
 
Tumeishi na watu wanao amini kwenye mpango wa Mungu kuna mkono wa mtu,
Tumeishi na watu wanao amini siku ya sikukuu ndio siku ya kuchinja Kuku.
 
"nakumbuka alinambia anapenda uvuvi kupiga makasia istoshe baba yake habaria ndo mana akija geto huwaga ananivulia"
kontawa wenu 😂😂
 
Back
Top Bottom