Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

Anafanya hip hop katuni, ni msanii mzuri akiamua kuwa serious ila kwa huu utoto wa kufanya ngoma zenye life span kama ya condominium moja kwa kila tendo atabaki ana flow tu ili kuremain relevant ila hawezi uza album kama hiphop artist wengine…

Aache ujinga kabla star light yake haijazima, kqma hawezi kuandika anunue idea au mashairi maana kuchana naweza!!
Kwa hiyo mkuu unataka kusema hizi ngoma zake za wordplay hajawa serious kweli? Sio kwamba mwamba anaumiza kichwa ​
 
" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂

"Nakunywa Serengeti Ngorongoro"

"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"

Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone​
Hii ndio mnaitaga mistari kwenzi sio😅
Disasta huwa anawaambiaga wajitahidi wawe wanapanga hoja,
At least waweke wazo zima kwenye Stanza moja... Sio wanaruka ruka tu kama paka mgonjwa
 
Anajua kuandika kiasi fulani.
Mwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa

Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha

Wordplay makes lyrics more interesting and memorable
​
 
Stamina ndio mwalimu wao na anajua sana uzuri wa stamina mziki wake unabadilika.
 
Mwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa

Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha

Wordplay makes lyrics more interesting and memorable
​
Kuna Dogo anaitwa Bando MC anahizo mambo pia Tena yeye amezidi
 
Mwamba kwenye wordplay hapa Bongo hana wa kushindana naye ni kipaji hata rappers wa mbele hufanya hii kitu sema kibongobongo kama watu wanamkataa Kontawa

Miaka ya nyuma Stamina naye alikuwa na hizi pigo siku hizi kaacha

Wordplay makes lyrics more interesting and memorable
​
Hizo ni words play za kawaida sana ambazo hazina viwango fikirishi kihivyo.

Nazi rate sawa na verse za Nagwa

Unamjua Nagwa?

Moja ya verses zake alisema

Ibrahim Ajibu so usimuulize maswali bro,
unaweza kua kibamia na bado ukaishi mramboo.../

Maisha ni safari vipi unatumia konyagi dingi?....Akili small utalewa hata ukinywa pepsi big..../

Sina shari nipo simpo, nimejaa upako, Bunduki haitumii dawa za mchina ila inakitako.../

Hua naenda kwa wakala wa mpesa hata nikitaka kurusha ngumi, Mlevi utakunywa kila wine ila sio wayne Rooney....

Unamjua Songa?

Basi huyu ndio G.O.A.T wa hizi mambo.

Sifuri ndio inaanza na moja ndio ya pili,
Cha ajabu ya pili inaanza na ya kwanza inasubiri....
 
Back
Top Bottom